Manchester United (Red Devils) | Special Thread

10hag anamtaka kipa wa fayernood , if deal la onana likiwa gumu

Hivi 10hag nje ya erevedise Hana jicho
Diogo Costa na Kevin Trapp wapo Eredivisie?


Nishasema mwanzo kuwa Ten Hag akifeli kupata target yake plan B yake anaenda kwa wale wepesi kuwapata ndio anatua Eredivisie.

Hata akiwa Ajax alikuwa hatumii Dutchs unless wana skills sana kama ingekuwa hivyo wangekuwa 80% ya first 11 wanachukua wao.

Halafu umesahau Wenger wenu alikuwaga anabeba sana Wachezaji toka ligue 1? Rafa Benitez akiwa Liverpool alikuwa anabeba sana wachezaji toka La Liga?
Ila akifanya wa United ndio crime[emoji706][emoji23]

Porto walitaka €70m kwa Costa na bajeti yetu haieleweki ndio maana akaenda kwa Onana wa bei nafuu kiasi.

Na akishindwa hapo ndio anaweza kuja na plan ya mwisho wa Mdachi wa Feyenoord ama ambakishe Henderson.

Van Gaal alishamuonya kufanya kazi kwenye timu ya kisenge hii.


We subiri siku Mwarabu anaichukua timu halafu Techinical na Football Directors wakabadilishwa uone kama atasaini wachezaji wenye connection nae.
 
Hivi ni kwanini budget yetu iwe 120? Wakati vilabu vingine vinaspend hapa shida ni glazers au Sheria gani inatubana mpaka tuwe na hiyo 120.
Glazers wanasita kutoa pesa nyingi wakati timu ipo kwenye transition ya kutaka kuuzwa.
Hawa wapuuzi walitakiwa kupewa presha kubwa ili wauze hio timu haraka kabla hata dirisha la usajili halijafunguliwa.
Matokeo ya ucheleweshwaji wa kuuza timu ndio haya mpaka dirisha linafungwa usajili kwenye club yetu bado hueleweki.
 
Mount si tayri ssa mnataka sajili gani zifanyike nyie manjesta
 
Ila timu yetu ya ajabu aisee eti €45m kwa Hojlund kubwa na wakati timu inahitaji striker na waliopo wote bei ghali hawawezi kuwapata kwa chini ya €90m.

Naona wanataka kurudia mistakes za kwa Haaland.

Yaani wametoa pesa nyingi kwa wachezaji takataka kama Antony ila hiyo €45m hapo wanadai kubwa sana sijui walidhani watampata nani kwa bei chee.

Kama wanataka strikers kwa bei chee waende kwa wale wazee halafu hawana uwezo ama wamrudie Weghorst ***** zao maana ndio cheap kwa soko la sasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] haya mambo ya kila mchezaji wa Kiholanzi kuhusishwa na Man Utd ndio yanafanya kina Bachelor ll kupata nguvu zaidi ya kumhusisha 10 Hag na ujasusi wa nchi yake dhidi yetu.
Ten Hag mm namjua kitambo kuwa no jasusi since anafundisha fc kyle
 
Jamaa ni jobless na kaoa! 😁
 
Sitashangaa tukianza pre-season striker akiwa Martial.

Hii timu ni stress tupu kwasababu kama washajua hawana pesa wauze basi wachezaji lakini kwenye kila kitu timu ipo slow.

Mimi naamini tayari kocha ana list ya watu wake na wale asio na mpango nao ni suala la timu kuwa wazi. Kama Maguire, Fred, Scott n.k. hawahitajiki wakae sokoini mapema.
 
Katika wachezaji wetu ambaye simpendi kuliko ni Martial anacheza kama kalazimishwa hata facial expression zake kama anaonewa.

Halafu alijiumiza makusudi ili asiuzwe kwa sababu hatuwezi kuuza mtu akiwa majeruhi.

Na pre season akifunga vigoli viwili kocha anamuamini kweli kumbe ni mtego.Saa hizi hatakiwi kudanganyila kabisa ni atafute striker hata Mehdi Taremi kwa €20m sio mbaya na backup yake young striker halafu Martial aozee benchi kama akina Lingard na Jones.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…