Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,870
- 16,424
Dr.Shika wa UK kaangukia puaView attachment 2672877


kwa huyu muhuni bora timu iendelee kubaki tu kwenye mikono ya Glazers. Sijui kwa nini huaga sina imani na matajiri wembamba.
Yaani huyu mzee kila nikimuona akili yangu inaniambia huyu ni kroenke's Pro max.









