Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unamwonea Chris. Yeye ni mzuri sana akicheza kama CB. Akicheza kama RB, uwa anabofya sana.

kwenye kushambulia anababaika sana,hata kama sio namba yake being proffesional means kucheza zaidi ya namba moja mbona jones huwa anacheza 2,na mbona valencia huwa anashushwa sometimes kucheza mbili how many times tumememwona rooney anakuja kucheza namba 8.
 
Kitu ambacho niliona kabla hata ya mechi haijaanza ndo kocha wetu amekiona sasa hivi,haya sub anaingia welbeck na kagawa,anatoka valencia na clevelrley
 
kwenye kushambulia anababaika sana,hata kama sio namba yake being proffesional means kucheza zaidi ya namba moja mbona jones huwa anacheza 2,na mbona valencia huwa anashushwa sometimes kucheza mbili how many times tumememwona rooney anakuja kucheza namba 8.

Siyo kila mchezaji anaweza kufanya hivyo.....

Angalau DM kafanya subs....
 
Samahani jamani...hivi Rooney na Van pasi wako leo uwanjani? Mbona siwaoni? Au ni macho yangu tu?
 
Imani yangu huwa inaniambia hakuna timu yenye bahati hapa Duniani kama MAN U...na hakuna timu yenye bahati mbaya
hapa Duniani kama Arsenal. Unaweza kustaajabu hizo goli zinarudi na la ushindi likapatikana pia...let us watch the football and time will tell
 
Samahani jamani...hivi Rooney na Van pasi wako leo uwanjani? Mbona siwaoni? Au ni macho yangu tu?

Rooney na Van Persie ni chachadu tu kama pilau halijapikwa utamu chachandu haina maana. David Moyes ni mgumu wa kuelewa na kufanya mabadiliko kuendena na matukio yanayotokea.
 
Back
Top Bottom