Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
Finnaly olympiacos have got what they deserve,poor poor poor play from dev devils...
Lakini nilisikia kuwa shinji leo anaanza kwakuwa mata hachezi UEFA?
"Nlikuwepo":bolt:
mi mwenyewe nashindwa hata kushangaa inakuwaje kagawa hajapangwa leo...kawapanga waingereza wote wawili wenye viwango vya kawaida sana....
mi mwenyewe nashindwa hata kushangaa inakuwaje kagawa hajapangwa leo...kawapanga waingereza wote wawili wenye viwango vya kawaida sana....
Naona Man Utd wanacheza kukamilisha dk 90 ziishe. Kocha wao kawapanga Waingereza ili kulinda viwango vyao kwa ajili ya World Cup
not to mention galasa smalling
Kipindi cha pili kimeanza,again im disapointed no change has been made to man u... To cope with what match wants.