Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rooney na Van Persie ni chachadu tu kama pilau halijapikwa utamu chachandu haina maana. David Moyes ni mgumu wa kuelewa na kufanya mabadiliko kuendena na matukio yanayotokea.

Nashukuru kwa nyie kuelewa kwa sasa,hata Emarate tulipata taabu hiyo zamu yenu
 
Hii ni gemu ambayo timu imecheza vibaya kuliko gemu yoyote katika msimu huu.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Amini nakuambia...huyu dogo naye akirudi Arsenal si chochote si lolote naye atakuwa kama wakina Giroud tu.
Lakini cha ajabu hapa anasukuma kabumbu balaa

Unasukuma kabumbu na vipigo, aibu yake ndio msimu huu kila ligi hamtaona zaidi ya PL
 
Hapa ni kuomba tupigwe la tatu, labda tukifikia kiwango hicho cha uchovu wafanyao maamuzi ndo wataona kwamba United hawana future kama wakiendelea kuongozwa na David Moyes
 
Hii ni gemu ambayo timu imecheza vibaya kuliko gemu yoyote katika msimu huu.

yaani kwa kweli mpk aibu naona mimi kama mshabiki,wachezaji wancheza as if hawalipwi mamulioni ya fedhwa na hawa wapinzani wetu wabovu mno....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Shambolic display by the team....Olympiakos deserves the win today..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mechi haikuwa na haja ya kuangalia unakaa mezani unaendelea na mambo yako kama kusoma na mengineyo
 
Back
Top Bottom