Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Orkun kocku- benfica.
Here we Go.

Miezi 28 ijayo atasajiliwa kwa euro millioni 125 kwa klabu yeyote itakayomhitaji.

Natabiri.
View attachment 2652866
Kitambo huyu timu za EPL zimemfatilia zikaachana nae , bado kwa intensity ya EPL hawezi kwasasa , hata Enzo zilipigwa kelele Sana, Kiko wapi

Ni vile Ureno kila mchezaji lazima awe na Release clause , akiwika msimu mmoja ,wakurupukaji ndio watapigwa
 
Kwa sisi wahafidhina na wachambuz nguli tunaamini Grazzer family sio tatizo Bali Wana mapungufu Kama binadamu wengine

Ralf ragnick aliwaambia board ya manjesta iwasajili Enzo fernandez & alvarez wote kwa pamoja bei yao ilikuwa ni £30 ,aliwashauri kumnunua Luis Diaz hawakumsikiliza.

Ole gunar aliwaomba board ya man United wamsajili erling haaland alikuwa anapatikana kwa £4 tu

Pia sosha alimtaka jude kwa £20 alivyokuwa birmingham





View attachment 2652774

Net spending ya man utd ni kubwa kwasababu wana kiwango cha chini sana kuuza wachezaji
 
50 best wonderkids in football

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2653212View attachment 2653213View attachment 2653215View attachment 2653214View attachment 2653216View attachment 2653217View attachment 2653218
IMG_20230610_010405_484.jpg
View attachment 2653219
 
"Kilichobaki ni kula maandazi tu."

We're not serious as a club. Kuanzia wamiliki, kocha na wachezaji.

Tumewapa City treble. Mechi ya FA Cup wachezaji wetu walichoweza ni kuongea tu vitendo sifuri. Walijisifu kuwa tutazuia City kushinda treble (Rashford) lakini hakuna wanachojali kuhusu hii timu. Garnacho pekee ndiyo alionyesha kujali na kuipambania jezi ya United.

Baada ya fainali ya FA Cup, De Gea alipaswa kuonyeshwa mlango wa kutokea ila bado kocha anaruhusu aongezwe mkataba.

Mchezaji kama Sancho ana mfululizo wa misimu mibovu ila jana kaonekana tayari anawahi vacation.

Hatuwezi kuwafikia City bila kuwa na wamiliki walio na mpango kazi na wapo tayari kuwekeza kwenye mawazo ya kocha na kuwa na watu wenye viwango na ushindani ktk nyadhifa mbalimbali ndani ya club.

Hatuwezi kuwafikia City tukiwa bado tunawategemea wachezaji kama De Gea, Martial, Maguire, Fred, McTominay, Elanga, Sancho.

Hatuwezi kuwafikia City tukiwa na kocha asiyefanya maamuzi magumu. Kumpa mkataba De Gea ni kosa la kwanza. Tutalipa mishahara mikubwa kwa watu kukaa bench na hawana uwezo.

United ni lazima ikubali kumalizana na wachezaji hasa legends, huwa ni ngumu sana sisi kuwatimua wachezaji. Madrid wamemuachia Benzema ingekuwa ni sisi angebaki tutafute backup yake. Siyo kazi ngumu kujua kuwa De Gea muda wake ktk top level football unamalizikia.
 
Back
Top Bottom