£ ni kubwa kuliko € . Usiogopeshwe na hizo figure ebu ziconvert kwanza uone ni ngapi?Kuna kitu mashabik wengi wa manjesta hamkijui, Timu bado haijauzwa , halafu manjesta Wana limitation ya budget , ili umpate Kane kwa timu ya EPL unahitaji €150m ,nje ya EPL €100m .Ndio maana Kama Kane atabaki Basi itabidi asubiri msimu mmoja zaidi awe free.
Victor alinunuliwa na Napoli kwa€80m, so De laurentias kasema bila €134m hafanyi biashara.
Madrid wanasubiri tu Benzema aage ,wamalizane na Kane
Ugumu unakuja hapo
USisahau pia Madrid wanakaribia kumtwaa Kai Haverts😃