hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,512
Oya , mancity huwez kumkamata kwenye middle aisee , hii system aliyokuja nayo Pep mwishon hapa atasumbua SanaKama kawaida ya United leo tunakaa nyuma tukisubiri dk zetu. Hatuna wachezaji wa kuweza kucheza possessive football.
Man City ukiwakamata kwenye mid unapunguza nguvu yao. Tatizo letu kubwa ni kwenye eneo la ushambuliaji nafasi tutakazopata siyo nyingi hivyo ni lazima watu wawe clinical.
Garnacho na Sancho nawakubali kwenye kutengeneza nafasi na siyo wachoyo.
Tusubiri, muda ndiyo hakimu.
Halafu ma FBs wake Ni ma CB natural , ameelezea juz hapa kwanini anafanya hivo
Leo subirien miujiza tu