Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwamba Neymar hataki kusikia club nyingne zaidi ya Mufc?
Si ndio sehemu pekee yakwenda kula pension

Unadhani timu gani inayojielewa inayotaka kazi kazi itamchukua neymar ?

Mchezaji ambaye madoido mengi , injury za kutosha

Kama manjesta waliweza kumnunua yule Anthony wa €35m kwa €100m why Neymar asione manjesta ndio sehemu pekee ya kwenda kujichotea pesa za bwerere
 
Roy Keane kasema nilichosema


7 hag anamtaka Mount ambaye kwenye kikosi Dhaifu Cha Chelsea hakuwa na namba


Ukichunguza utagundua 7 hag Ni mbahatishaji Sana


Anatamani acheze Total football hapo Unyumbuni

Ila Hana uwezo waku select Wachezaji maalumu wa kutimiza hayo majukumu

 
7 hag Ni Tapeli aisee
IMG_20230531_135815.jpg
 
Thus why naamini hapa Tz wachambuz 99% Ni waganga njaa na bendera fata upepo

Mwanzo wa ligi walisema Manjesta n Chelsea watakuwa title contender pamoja na Spurs
Sababu zao Conte aliongezewa wachezaji aliowataka na Manjesta wameleta wchezaji wanaowataka kupitia 7hag plus bajeti ya €250m

Na Chelsea kutumia €300m summer tu

Ni Mimi mchambuzi nguli nilijitokeza kusema hadharani

Spurs kwa mpira wa janja janja atakwenda na maji ,Yalipotokea wale wale wachambuz uchwara wakasema Conte hakuwa supported

Chelsea kwa usajili wa ku hijack deals za watu bila kuzingatia profile husika za wachezaji na style ipi Wanataka wacheze watatumbukia shimoni

Manjesta ya 7 hag haitakuwa title contender sababu sijawahi kuona in morden football game kwa mpira huu anaocheza manjesta timu ikawa kwenye title run, kufika March Manjesta wakatupa Taulo


NAONA TENA WACHAMBUZI WALE WALE WAMEANZA NGONJERA ZAO
 
Sheikh Mansoor toka amefika city katumia £1.2B

Manjesta wametumia £1.3B

Why Graza family wanasemwa?

Wamempa Rungu 7 hag la usajiri kamleta Anthony kwa €100m ,
mechi 25 ,Goals 4 ,wanaolaumiwa Ni Grazzer

Weghost mech 30 goli 1 la kujigonga wanaolaumiwa Ni Grazzer

Malacia prime average player wanaolaumiwa Ni Grazzer

Eriksen ,dakika 60 upepo unakata anayelaumia Ni Graza

Casemiro ,umri 33
 
7 hag Ni Tapeli

Roy Keane anauliza Kama mason mount alikuwa anakosa namba kwenye Chelsea iliyokowa inataka kushuka daraja

Ndio aje aiimarishe manjesta?


Chelsea wanajiandaa kupokea €70-80m
 
Kwenye media 7+3 hag anajitapa anataka kucheza Total football

Ukija uwanjani anacheza Kama Prime Tony pulis au Sean Dyche
 
Si ndio sehemu pekee yakwenda kula pension

Unadhani timu gani inayojielewa inayotaka kazi kazi itamchukua neymar ?

Mchezaji ambaye madoido mengi , injury za kutosha

Kama manjesta waliweza kumnunua yule Anthony wa €35m kwa €100m why Neymar asione manjesta ndio sehemu pekee ya kwenda kujichotea pesa za bwerere
Ila ukuu wa Mungu ni wa ajabu sana hapa ubingwa wajabeba wana kelele hivi wangebeba je acheni Mungu aitwe Mungu.

Kitu arsenyani mnaweza beba ni hii tu
IMG-20230521-WA0024.jpg
 
Hawezi kuwa pale juu kuna mechi baadhi alikuwa anatoka tofauti na De Gea ambae yeye akiingia ni mpaka kipenga cha mwisho.
Kuna thread nimeona twitter Bruno kacheza zaidi ya dakika 5000 msimu mzima.

Kwenye ligi akiwa na 4k
 
MAJOR BREAKING:
#mufc have agreed personal terms with Mason Mount and are now expected to sign the Chelsea midfielder.
[@TelegraphDucker]


Chief-Mkwawa neno tafadhali
DEJAN7
Darmian

N.k
Sijui ETH anachofikiria mkuu ila nimeona wadau wamasema pengine ETH ameshaachana na FDJ na tunaenda kucheza na 8 wawili kwa maana ya 4-3-3 ama mfumo mwengine wa Midfield 3. Tupo linked pia na Rabiot. Tunaye Casemiro ambaye anacheza bila tatizo single pivot.
 
Back
Top Bottom