Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mount anafaa kwa timu ambayo tayari wataalamu na wachambuz nguli tunaita Blueprint

Ila kwa hii manjesta ambayo haijulikani inacheza possession football au PAPATUPAPATU football

Atakuwa reliability

Chelsea wanaenda kukunja €60-80m

Hapa ndipo unapoona akil za 7 hag
 
Hivi kwanini katika nominees ya makocha Bora EPL ,7 HAG hayupo?


Jibu : haeleweki anacheza Nini
 
Kituko Sasa

7 hag anataka acheze na double 8/10

Mount casemiro Bruno

Kipa Degea

Front 3

Rashford New CF Anthony


Huu utakuwa msimu wa Vituko sana
 
7 hag Hadi Sasa haijulikani anacheza mfumo upi

Total football?

Tik Tak ?

Counter pressing? Some how

Hatimae marehemu kafufuka baada ya mazishi.
Hongera sana hamis77 kwa timu yenu Asianali kufanikiwa kutwaa ubingwa wa PL msimu huu, mkiendelea kugawa biriani mtachukua na Uefa msimu unaofata.

Kula chuma hioooooo
1685442979303.jpg
 
Hatimae marehemu kafufuka baada ya mazishi.
Hongera sana hamis77 kwa timu yenu Asianali kufanikiwa kutwaa ubingwa wa PL msimu huu, mkiendelea kugawa biriani mtachukua na Uefa msimu unaofata.

Kula chuma hioooooo View attachment 2640213
Hivi huyu kunguru mbona yupo busy na jukwaa la United kuliko hata kule kwa mashoga zake? Si Wana jukwaa lao mbona muda wote Yuko huku? Au kapata bwana humu?
 
Muacheni hamis77 aje kupata faraja humu kwenye jukwaa la amani na burudani ya nafsi.
Hawa mashabiki wa Arsenyani wanapokosaga watu wa kuwafariji mara nyingi hua wanaishia kujidhuru(kukatisha uhai wao)
Hata wanapohudhuria kwenye clinic za afya ya akili (psychiatrics) hua wanashauriwa sana kukaa karibu na mashabiki wa Man Utd ili wapate maneno ya faraja yatakayowaondolea msongo wa mawazo.
Noted kiongozi wangu
 
Roy Keane:

“Mason Mount is a good player, but would he really improve Manchester United? I’m not so sure. He couldn’t get in a weak Chelsea team.”

#MUFC
 
Hivi kwanini katika nominees ya makocha Bora EPL ,7 HAG hayupo?


Jibu : haeleweki anacheza Nini
Mkuu hamis77 umetukosea saana heshima mashabiki wa arsenal.Huu ni muda wako ndani ya jukwaa la arsenal ulipotea na unarudi your very first post unaileta kwa hawa nyumbu?kweli?

Hapana rudi jukwaaani ni muda wa kuwakeraa na tetesi.matokeo yamepita,ligi imeisha na ni muda wa kimoove on
 
Who Scored's 2022/23 #PL Team of the Season.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230530_204230_017.jpg
 
Manchester United will not make the loan deals of Wout Weghorst and Marcel Sabitzer permanent this summer.

#MailSport
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230530_204222_209.jpg
 
Diogo Costa should head to the Premier League - he's desired by #MUFC, who admit to paying his €75m release clause. He has played his last game for FC Porto.


#ABOLA
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230530_204206_899.jpg
 
Bruno Fernandes: "Gonçalo Ramos can be useful to United? Here the best can always serve, whether it's Gonçalo or someone else."

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230530_204151_994.jpg
 
Back
Top Bottom