Kuna tofauti ndogo sana kati ππΌπΌππΌππΏ na Bwana mkubwa ππΌπππ ππΌππ kwa nyie msio taka atie maguu pale ππ .
Yani mtu mwenye umri wa miaka 28 anazidia GOLI 6 tu, na kijana mwenye damu changu umri 22 na bado mtu anakuwa na Mashaka ya kiutendaji wa ππΌππ tena mkimlinganisha na vijana wadogo wanaowika msimu mmoja kama ππππ©π€π§ π.
Nashindwa kuelewa ni jinsi watoto wanavyoleta shida katika kuamua mechi mfano mzuri hao watoto wa Arsenal wamekiwasha weee mwisho wa siku wamevuna walichokipanda.
Tumeleta vijana chipkizi mnawaita πΏππ’πͺ πΎπππ£ππ wengi tu cha ajabu ni πππππππππ yani ni tofauti na tulivyowategemea, mwisho wa siku tunaanza oooh tuwape muda ndio msimu wao wa kwanza, hawajazoea Ligi,Ligi ya πππ inakasi sana, mala Atmosphere mambo ya hapa na pale, sasa kwanini tusilete mashine ya kazi ambayo tunajua haicheki cheki na πππΌππ, mzoefu wa πππ bila kusahau πππΌπ ππΌπΎππππ π¬ tena tushamwandalia wamwaga maji kama πππ ππ€π§π©πͺπππ‘ ππΌππππππππΎπ (π½π) na ππ§ππ π¨ππ£.
Hebu tuweni serious katika hili πππ£ππππ¨π©ππ§ ππ£ππ©ππ inamhitaji ππΌπππ ππΌππ hata ππΌπππ ππΌππ anaihitaji πππ£ππππ¨π©ππ§ ππ£ππ©ππ, nazani mliona kilichotokea kwa πππ£ πππ§π¨ππ pamoja na umri lakini alikiwasha akanyanyua na kwapa pale pale ππ. Je, Hamtaki ππΌππ aje anyanyulie kwapa ππ ?..? Hamtaki atimize lengo lake msimu ujao kucheza ππΎπ?..?
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ


#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨

#ππ‘ππ―ππ§πππ

#ππππ

man utd |
View attachment 2639475