christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,201
- 5,135
Safi sana, ile tabia ya kusajili majina makubwa halafu hayaji kufanya chochote naona ETH kaachana nayo. Watu wengi wanamunderate Mount ila kwangu naona ni usajili bora sana kutokana na mahitaji ya timu na aina ya uchezaji wa kocha ETH.MAJOR BREAKING:
#mufc have agreed personal terms with Mason Mount and are now expected to sign the Chelsea midfielder.
[@TelegraphDucker]
Chief-Mkwawa neno tafadhali
DEJAN7
Darmian
N.k











- The FA Cup Final is likely to be Harry Maguire's last game as a #mufc player.