Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa sasahivi mimi nataka watu watakaokuja kutupa uhakika wa ushindi. Hata akija mtu ana miaka 70 kama anaweza kutupia inavyotakiwa sina tatizo. Timu itakuwa inajengw kidogokidogo na wakati huohuo mashabiki nasi tukifurahia ushindi.
Hivi mashabiki wa Manchester tutapa akili lini? Walahi mtu unauliza kane hata tufanyua nini kisa umri?

Sancho bado mdogo tu amna kitu.
Martial tulimchukua toka kinda mpaka leo amna kitu.
Rashford bado mdogo tu lakini wa kuungaunga.

Yani mtu unataka vijana wenye wana flop mimi walete kane tu hata kama hatasaidia msimu mmoja sio mbaya kuliko tunachukua vijana wadogo lakini bure kabisa.

Forward yetu ya sasa ni makinda matupu lakini amna kitu kabisa.
 
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha

Prediction

Manchester united 2 vs chelsea 1

4:00 usiku
old Trafford

Last match

Chelsea 1 vs Manchester united 1

Mnachocheza nacho hamkijui the blues hakika kitawaramba

GGMU
1684840566383.jpg
 
Hivi mashabiki wa Manchester tutapa akili lini? Walahi mtu unauliza kane hata tufanyua nini kisa umri?

Sancho bado mdogo tu amna kitu.
Martial tulimchukua toka kinda mpaka leo amna kitu.
Rashford bado mdogo tu lakini wa kuungaunga.

Yani mtu unataka vijana wenye wana flop mimi walete kane tu hata kama hatasaidia msimu mmoja sio mbaya kuliko tunachukua vijana wadogo lakini bure kabisa.

Forward yetu ya sasa ni makinda matupu lakini amna kitu kabisa.
Huwa nashangaa sana mtu anayeuliza Harry Kane wa nini! Hivi vitoto ndiyo vinatuchelewesha pale mbele, halafu Kane bado ana misimu 3 ya kukiwasha.

Hata Fabrizio ana-report kuwa Kane yupo kwenye top list ya wachezaji anaowataka EtH.

Sokoni sioni striker yoyote wa maana kuja kutusaidia. Kuna watu wanamtaka Osimhen wakati hata wingers za kucheza na goal poacher hatuna.
 
󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 The BOSS! 🫡

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230525_201709_667.jpg
 
It’s expected that the preferred bidder for #mufc will be announced in the next 48 hours.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230525_201303_110.jpg
 
Man. United will attempt to smooth negotiations with Spurs by making an early bid for Harry Kane.


#JacobSteinberg
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230525_201255_524.jpg
 
Jeremie Frimpong is set to join #MUFC at the end of the season.


#SPORTBILD
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230525_201235_062.jpg
 
#MUFC loanee Matej Kovar is voted best goalkeeper in the Czech league.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230525_201218_515.jpg
 
Come on United!

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230525_201113_009.jpg
 
BREAKING: #mufc have joined the race to land Declan Rice. Erik ten Hag wants to bolster his midfield ahead of next season and believes Rice can add steel and energy to his team.

[Daily Mail]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
Casemiro's attacking stats compared to Chelsea's G/A leader, Raheem Sterling...

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230525_203456_035.jpg
 
#MUFC have asked about Benfica’s position regarding Goncalo Ramos.


[The Athletic]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230525_203355_936.jpg
 
OFFICIAL: #MUFC will face Leeds United on the 12th July at the Ullevaal Stadium in Oslo, Norway. The first fixture in the first friendly of the 2023/24 season.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2634676
IMG_20230525_203348_240.jpg
 
Back
Top Bottom