Nilikosea kukwoti mkuuNdy umeandika Nini? Mimi nasemea kikosi chetu sio kizuri kwenda kucheza UCL it's better tusingeshiriki mashindano makubwa mwakani tujenge timu kwanza kuliko kwenda kutia aibu kubwa huko, unapigwa nje ndani na Brighton harafu unataka ushiriki UCL kweli?
Ndio aliyetoa assist ya goalHivi eriksen yupo ndo namuona sahv
2 games against Chelsea Two header goals🤣GOAL! Man Utd 1-0 Chelsea (06")
️: Casemiro
: Eriksen
Fala huyu mpaka atengeweMashooooooo
Unanishangaza sana hivi unafahamu Kombe lenye thamani kubwa kwa ngazi ya vilabu ni FA cup? Sasa kwanini vilabu visiwekeze nguvu zao kwenye FA bali heshima ya timu yoyote duniani ni kubeba UCL na Wala sio suara la businessUCL ni zaidi ya kuwa na timu nzuri. Hizo timu hazipo kukufurahisha wewe shabiki bali kufanya business. UCL ni sehemu ya business inayoingiza pesa.
Katema mate kushoto kafukia kuliaWakuu mmeona pass ya Casemiro kwa Sancho iliyozaa goal la Martial??
"Classic "![]()
Nimeona assist ya Sancho inavutia zaidi pale alikua anafunga kabsa akaona amtengee MashoWakuu mmeona pass ya Casemiro kwa Sancho iliyozaa goal la Martial??
"Classic "![]()
Kabisa kwa style ya uchezaji wa city Antony angefaa sana kuwakimbiza.Daah Antony ni wa muhimu sana kwenye derby ya FA huyu mwamba anawawezea vizuri mwacity sasa naona kabsa atakaa nje mpaka mwisho wa msimu na apo ndo tutachakazwa 4+ kwenye FA
Angefunga akakosa tungesema uchoyoNimeona assist ya Sancho inavutia zaidi pale alikua anafunga kabsa akaona amtengee Masho