Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,750
- 5,623
Una ufahamu wa kutosha kuhusu mpira kiongozi wangu?
Una ufahamu wa kutosha kuhusu mpira kiongozi wangu?
Hapa ntaamini Ten Hag hayuko serious na project yakeHuyu mason mount wa nini?
Muandishi Samuel mokbel amenikata stimu
Operation ni kuifilisi MANCHESTER part twoHapa ntaamini Ten Hag hayuko serious na project yake
Kama wanamchukua labda £30M
Ruud van Nistelrooy leaves PSV Eindhoven with immediate effect.

Wachezaji wanaonunuliwa kuuza jezi au kocha anaowataka?United ndy timu inayoongoza kwa spending EPL nzima unataka wamiliki watoe makalio yao ndy wanunulie wachezaji mnaowataka?
Mtakufa na presha.Hapa ntaamini Ten Hag hayuko serious na project yake
Kama wanamchukua labda £30M
Wamesha Sahau ya Sergio RamosMtakufa na presha.
Na akili yako timamu unadhani kila mchezaji anaeusishwa na Man Utd anatakiwa kweli.?
Are you that stupid enough to believe any rumours?

Huyu ni david ornstein ameandika muda huu. Ornstein ni gwiji kwa pale uingerezaMtakufa na presha.
Na akili yako timamu unadhani kila mchezaji anaeusishwa na Man Utd anatakiwa kweli.?
Are you that stupid enough to believe any rumours?
Vyanzo vya kuaminika vinareport hii habariMtakufa na presha.
Na akili yako timamu unadhani kila mchezaji anaeusishwa na Man Utd anatakiwa kweli.?
Are you that stupid enough to believe any rumours?