Developer_tz
Member
- May 16, 2023
- 91
- 140
Wameshinda njaaLiverpool wanashinda hii game yao

Bado ngoma mbichi tukipigwq game zote 2 zilizobak liva wakashinda yao 1 ni patupuHivi leo ndo tumefuzu uefa? Je tutaweza na timu tia maji hii et martial na warghost ndo washambuliaji
Mkuu mimi nina mtazamo tofauti kidogo.Tunamaliza ligi huku tukiwa tumeshindwa kufikia standard ya manchester city kimpira japo kwa asilimia 60.
Hii ina maana ya kwamba msimu ujao tutaendelea na maisha ya kubana korodani kwa kila mechi tutakayoiangalia.
Huo ni utabiri wangu
Unapotaka kupambana na manchester city, hatua ya kwanza ni kufikia level yake ya kiuchezaji, Arsenal wameikaribia hatua hii.
Tunafanya makosa mengi, mengi, mengi sana tukiwa ndani ya uwanja.
Nimeangalia timu yangu leo nikawaza ni timu hii itaemda kukutana na City kwenye fainali ya FA au kuna nyingine?Tunamaliza ligi huku tukiwa tumeshindwa kufikia standard ya manchester city kimpira japo kwa asilimia 60.
Hii ina maana ya kwamba msimu ujao tutaendelea na maisha ya kubana korodani kwa kila mechi tutakayoiangalia.
Huo ni utabiri wangu
Unapotaka kupambana na manchester city, hatua ya kwanza ni kufikia level yake ya kiuchezaji, Arsenal wameikaribia hatua hii.
Tunafanya makosa mengi, mengi, mengi sana tukiwa ndani ya uwanja.
Hata Hatuna best 11, tukishaipata hio ndio tuanze depth kama ya City.Tunamaliza ligi huku tukiwa tumeshindwa kufikia standard ya manchester city kimpira japo kwa asilimia 60.
Hii ina maana ya kwamba msimu ujao tutaendelea na maisha ya kubana korodani kwa kila mechi tutakayoiangalia.
Huo ni utabiri wangu
Unapotaka kupambana na manchester city, hatua ya kwanza ni kufikia level yake ya kiuchezaji, Arsenal wameikaribia hatua hii.
Tunafanya makosa mengi, mengi, mengi sana tukiwa ndani ya uwanja.
tuna rekodi nzuri nyumbaniBado ngoma mbichi tukipigwq game zote 2 zilizobak liva wakashinda yao 1 ni patupu
kila timu na falsafa yake Liverpool amechukua ligi kwa style yake mbna...Tunamaliza ligi huku tukiwa tumeshindwa kufikia standard ya manchester city kimpira japo kwa asilimia 60.
Hii ina maana ya kwamba msimu ujao tutaendelea na maisha ya kubana korodani kwa kila mechi tutakayoiangalia.
Huo ni utabiri wangu
Unapotaka kupambana na manchester city, hatua ya kwanza ni kufikia level yake ya kiuchezaji, Arsenal wameikaribia hatua hii.
Tunafanya makosa mengi, mengi, mengi sana tukiwa ndani ya uwanja.
Hii timu kama atapewa mwarabu naamini msimu ujao utakua ni wamafanikio makubwa, ila kama timu itaendelea kubaki kwa Wamarekani Mambo yatabaki kua vilevile tu.Mkuu mimi nina mtazamo tofauti kidogo.
Naamini tumepiga hatua ingawa si nyingi kama tulivyotarajia.
Mzunguko wa pili tulikuwa tunaongelea habari ya ubingwa.Mambo yalianza kwenda ndivyo sivyo baada ya red card ya Casemiro na kuumia kwa Lisandro,Varane & Martial.
Tuna hitaji wachezaji 4 au 5 tu ili tuweze kukimbizana na City.Mlinzi wa kati,Kiungo na mshambuliaji wa kati.Tunaweza kuongeza mlinzi upande wa kulia na mshambuliaji kulia.
Team kwa mara ya kwanza imejitahidi ingawa bado kidogo.Tuna hitaji kuondoa magarasha yote na nafasi zao kuzibwa na wachezaji sahihi.
Tumpatie Mwl muda na zaidi ya yote tushukuru Mungu top four ipo ndani ya uwezo wetu.
Yes card ya Case ikachangia mno, majeruhi ya Ericksen, Varane, Rashford na Matinez na Garnacho ndio yaliyimuharibia kocha plan.Ujio wa Martial ukamfanya Werghost kuanzia bench hapo ndio ikiwa balaa zaidi.Majeruhi alikua Ericksen tu,wengine ilikua sio kiivo,labda zile card za Casemiro
Sijui mnatoleaga wapi huu uchambuzi wa ajabu ajabu, yaani badala ya kumpongeza kocha kufikia hii hatua na wachezaji wavivu wavivu kama Martial, Sancho na Rashford wewe unaanza kutabiri vitu vya ajabu. Nionavyo mimi ETH ni bonge la kocha na msimu ujao utajionea, kwa majeruhi aliyopata ya wachezaji wake muhimu plus card za Casemilo ingekuwa ni enzi ya Ole tingekuwa nafasi ya 10. Pamoja na timu kuwa mbovu namuona ETH kafanikiwa zaidi kuliko Arteta hivyo tumuheshimu japo kidogo tuwe watu wa shukrani.Tunamaliza ligi huku tukiwa tumeshindwa kufikia standard ya manchester city kimpira japo kwa asilimia 60.
Hii ina maana ya kwamba msimu ujao tutaendelea na maisha ya kubana korodani kwa kila mechi tutakayoiangalia.
Huo ni utabiri wangu
Unapotaka kupambana na manchester city, hatua ya kwanza ni kufikia level yake ya kiuchezaji, Arsenal wameikaribia hatua hii.
Tunafanya makosa mengi, mengi, mengi sana tukiwa ndani ya uwanja.
Tunahitaji point moja katika mechi 2 zilizobaki.Liver kasawazisha
Hatuna wachezaji tu.Tunamaliza ligi huku tukiwa tumeshindwa kufikia standard ya manchester city kimpira japo kwa asilimia 60.