Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,179
- 37,475
UCL inavutia wakati wa kusajili wachezaji wazuri.I am not excited with UCL.
There is nothing that we are going to do.
UCL inavutia wakati wa kusajili wachezaji wazuri.I am not excited with UCL.
There is nothing that we are going to do.






Glazer naona wenye timu ikifuzu tu Uefa kwao mengine hawana Shida nayo sana ndo maana uwezi kuona wanachukua hatua yoyote ile pamoja na timu kuzingua muda wote huo.Misimu karibu 10 Man City wanamaliza juu ya United kwenye ligi.Sijui lini tutarudisha ufalme wetu wa Epl tena





Liverpool wameachana na Oxlade,Naby,Bobby na babu Milner mapema tu..
Sisi bado tunaendelea kufuga tu mafurushi yasiyo na msaada wowote.
Apa ndio huwa nawaambia united fans wapunguze expectations zao ukiona timu inakuwa na wachezaji wale wale walioshindwa kubadilika kwa muda mrefu na hakuna mpango wa kuwaondoa ni ngumu kufanikiwa...yaan ni ngumu kufanya mabadiliko hakuna project yyt mfano mzuri degea n old skul haendani na mpira wa kisasa lakn anakula mkataba mrefu na ataendelea kuwa kipa namba 1 dadeki. PUNGUZENI MATARAJIO MAKUBWA SISI MAN U BADO SANA..Liverpool wameachana na Oxlade,Naby,Bobby na babu Milner mapema tu..
Sisi bado tunaendelea kufuga tu mafurushi yasiyo na msaada wowote.
Jones si anaondoka.Liverpool wameachana na Oxlade,Naby,Bobby na babu Milner mapema tu..
Sisi bado tunaendelea kufuga tu mafurushi yasiyo na msaada wowote.
Sahauni.Misimu karibu 10 Man City wanamaliza juu ya United kwenye ligi.Sijui lini tutarudisha ufalme wetu wa Epl tena
Kumaliza juu ya City maana yake tuwe mabingwa.Misimu karibu 10 Man City wanamaliza juu ya United kwenye ligi.Sijui lini tutarudisha ufalme wetu wa Epl tena
Sahauni.
Labda mumlete kocha Kama zidane
Ten hag is an average coach.Kocha si ishu, wachezaji
Kocha yupi sasa hivi ambaye ni elite yuko sokoni ?Ten hag is an average coach.
Level za akina arteta hawawezi kukupa makombe makubwa
Real Talk, Japo kwenda UCL kutatusaidia kwenye dirisha la usajiri kupata wachezaji wazuri kama sijasahau hata Nkunku mwaka Jana alitutosa kisa hatutacheza UCL 22/23.I am not excited with UCL.
There is nothing that we are going to do.





