Sio hamis uyo hamis ID yake mpya yule kenge (Bachelor)hamis kaja kwa id nyingine
yule jamaa wa jasusi amaSio hamis uyo hamis ID yake mpya yule kenge (Bachelor)
Uyouyoyule jamaa wa jasusi ama




Huyu ni mashine mkuu yaani wangekutana na Greenwood tungekuwa na timu ya hatari sana sema ndio hivyo dogo anahujumiwa.Huyu dogo Garnacho akili imetulia sana. Direct football. Perfect.
VIVA GARNACHO!!
Unaiona kazi ya jasusi la kidutch ?Operation ni kuifilisi MANCHESTER United
Kulia Greenwood, kushoto Garnacho na mfungaji wa maana. Itakuwa hatari sana, dogo arudi tu.Huyu ni mashine mkuu yaani wangekutana na Greenwood tungekuwa na timu ya hatari sana sema ndio hivyo dogo anahujumiwa.







Wapumbavu tu..Kulia Greenwood, kushoto Garnacho na mfungaji wa maana. Itakuwa hatari sana, dogo arudi tu.
United ndiyo wanasubiriwa kutoa maamuzi maana kesi ishafutwa.