Snapdragon 8
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,073
- 3,885
Manyumbu yanagombea top four saiv

Mpira una matokeo ya kikatili sanaEverton anajipigia tu Brighton huko.

Manyumbu lazima mshangae nyie hamjiulizi kiporo kinawahije kuchacha kipindi cha baridii!!? Lazima mshangae MANYUMBUUUUSouthampton alitukazia tukiwa home leo wahuni wanamsachi tu.
Mechi tunazo-drop points zinashangaza sana.
"Hatuwezi kufunga magoli muda mwingi hatuna mpira tunakimbia kuutafuta"Hatuwezi kufunga magoli muda mwingi hatuna mpira tunakimbia kuutafuta.
Hata hivyo hatuna striker tunategemea wide foward kama Rashford na Sancho, wakati mwingine wingers wanakuwa wamekabwa sana timu nyingi hazina wasi wasi wakicheza na sisi hatupati goals kupitia Angle C mara nyingi ni goals za pembeni kwa Rashford na Sancho au Anthony kiasi kulia.
Tuna striker mrefu lakini hatupigi cross kwa sababu ya uchoyo wa wide forwards wetu.
Sasa hivi ndiyo tunacheza on pure off vibes.
Mbona umesema kitu kile kile nilichokisema mkuu ?"Hatuwezi kufunga magoli muda mwingi hatuna mpira tunakimbia kuutafuta"
Hili sikubaliani kabisa na wewe, mechi nyingi tu hua zinapatikana nafasi kibao za kufunga lakini pale mbele anakosekana mtu ambae ni fundi wa nyavu.
Defeats under Ole Gunnar Solskjaer:
Defeats under Erik ten Hag:
Kwa maana hiyo Ole ni bora kuliko EtH.Defeats under Ole Gunnar Solskjaer:
2019/20 - 8
2020/21 - 6
Defeats under Erik ten Hag:
2022/23 - 9
Man United have lost more #PL matches under Ten Hag than they did in both seasons under Solskjaer![]()
Hawa jamaa hawana tofauti kubwa hata mbinu ikataokea unaambiwa eleza tofauti kiuchezaji man u ya ole na ten hag lazima upate ukakasi tena ole anaweza kuwa hata kamzidiKwa maana hiyo Ole ni bora kuliko EtH.
Sawa.