Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna nyumbu wenzio hawatokuelewa, watakwambia "wewe na mzungu nani ana akili??"
 
Mi nilishawahi kuuliza hapa accuracy ya anthony iko wapi maana pass butu vishuti uchwara etc
 
Mimi mpaka muda huu naona kazi kubwa aliyoifanya Jasusi 7Hag tokea ametua Manchester ni kumfurumusha Cristiano Ronaldo tu.
Hivi huyu jasusi wetu kila akiuangalia ule upara wa Pep hua anajisikiaje???
Tunamuomba kuanzia msimu ujao awe anavaa wigi tu maana kwa mpira huu na matokeo haya hana sababu yoyote ya msingi ya kutumalizia nishati ya jua kwenye hio solar panel yake isiyotunza chaji.
 
Daahh *****😂😂
 
Huyu mwamba aombe timu apewe mwarabu..bila hivyo maisha yake pale ni mafupi zaidi
 
Rebuild imekataa

Rescue mission nayo imekataa


Maisha haya basi..kilichobaki tufe na tai shingoni..

We are Manchester United
 
Huyu mwamba aombe timu apewe mwarabu..bila hivyo maisha yake pale ni mafupi zaidi
Ndio kwanza anawaongezea mikataba wachezaji waovyo
Hata angepewa Mansoor bado Kama kocha Ni kiazi uongoz maandazi mta struggle tu
Si alitumia £200m na zaidi kusajili Nini kimebadilika Hadi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…