Naona zipo nyingiTumebeba kombe mbele yao. Arsenyani wanatusaidia kwenda Champions League msimu ujao.
Chukua hii app uta stream mechi nyingi sana bila kukwama kwamaView attachment 2613805
Bila maamuzi magumu kwa de gea ataendelea kuchomesha kila siku
Fagio lipite moja baada ya mwingineDe gea anafungisha sawa lakini mbona strikers hawafungi?
DDG ni most paid player pale OT na anaongeza mkataba wa miaka 4 mbeleFagio lipite moja baada ya mwingine