Kwa ufinyu wa kikosi chetu Bruno na Antony ndio wamekua kama Central Bolts ya timu mzima, anapokosekana mmoja wao unaona kabisa gari linalalia upande mmoja.Ulitaka nani aingie? Tuna squad depth ya aina hiyo unayofikiria?
Yani wachezaji wa United wa uhakika hawafiki 10. Waliobaki takataka wote.
Za ndani ndani kabisa 7Jagi ni mtoto wa dadake Luis Van Ugali, hivyo Van Ugali ni mjomba wake kabisa Majagi7.Huenda kocha ni jasusi kweli.. Haiwezekani kila siku unafanya sub za kipuuzi kama hizi, hivi weghost wa nini hawezi kukuoffer chochote zaidi ya kukimbia tu si bora hata aingie peri awapush tunaweza ambulia kitu.
Nachoona huyu utaifa sijui unamponza yani dah mechi tunapoteza kizembe kabisa, wachezaji nao wahedi goli 2 hawakabi wanatembea tu wameridhika sioni kama hilo linafanyiwa kazi.
Kipara mdomo mwingiiii timu hakuna kitu.
Kiuhalisia kabisa Ni labda kocha au timu mmoja ana bahati msimu huu ila kiukweli mechi nyingi tulipaswa kufungwa kabisa.
Mimi fred sijawahi mkubali kabisa ukiacha hiyo kukaba mle hamna mchezaji yani kiungo hawezi kupiga pasi, hawezi kushoot hawezi kudribble yupo tu eeeh kufika level ya city Bado sanaa. Fred hata kikosi cha pili pale city hatoboi.First halaf jana vijana walicheza kwa spirit sana. Second half majanga matupu,takataka kabisa. WB jana alitakata sana,SUB yake haikuwa ya ulazima.
Faza Martial anaendelea kuprove kwamba hatufai,ule mzimu nao ni kama jina lake tu.
Antony pia alifanya na anafanya kazi nzuri.
Fred naona anahitaji kupewa training yake pekee yake kama alivyofanyiwa Sancho.
π€π€π€π€π€π€π€Manchester United is playing today and whole world is happy
Prediction
Tottenham 0 vs Manchester United 3
4:15 night
White Hart Lane
Last match
Manchester United 2 vs Tottenham 0
Pigaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaaa
Chinjaaaaaaa
Kama unaona Tottenham hatashinda mbetie hela ya mtaji.
GGMUView attachment 2601471
Waziri mkuu wa Netherlands bwana Mark Rutte amemuandikia barua ya kumshukuru na kumpongeza 7hag kwa juhudi zake za kuisaidia serikali ya Uholanzi katika kupambana kupunguza gape la unemployment katika nchi yake.Wakuu naomba Bachelor ll asikilizwe huenda ana hoja za msingi juu ya 10hangaya
Ujasusi mlangoni penuUlishawahi kumuona Pelistri akicheza? Tunamaanisha kocha aache ubaguzi wa utaifa, Whergost na Malacia walifata nini uwanjani?
Operation ni kuifilisi MANCHESTER UnitedZa ndani ndani kabisa 7Jagi ni mtoto wa dadake Luis Van Ugali, hivyo Van Ugali ni mjomba wake kabisa Majagi7.
Anachofanya Majagi7 ni kulipa kisasi cha mjomba wake.
Hakika Bachelor ll ni jasusi mbobezi asikilizwe maana anawajua double Agents wote wa hapo Old Trafford
Unamtoa AWB unamwingiza Malacia..Kamtoa sancho kamuingiza martial,
Baadae kidogo kamtoa anthony then amemuingiza werghost.
Wazembe wawili wanakwenda kuongoza safu ya ushambuliaji.
Unajiuliza huyu kocha ni mzima kweli
Waziri mkuu wa Netherlands bwana Mark Rutte amemuandikia barua ya kumshukuru na kumpongeza 7hag kwa juhudi zake za kuisaidia serikali ya Uholanzi katika kupambana kupunguza gape la unemployment katika nchi yake.
7Hag amefurahishwa na pongezi hizo na kumhakikishia waziri mkuu kwamba wako bega kwa bega katika kupambania maslahi ya nchi yao.
7Hag amemuondoa wasiwasi na kumuahidi waziri mkuu ya kwamba kikosi cha kwanza cha timu ya taifa ya Netherlands kitakacho shiriki kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka 2026 kitatokea hapohapo kwenye dimba la Old Trafford.
Erick Ten Hag amemuelezea bwana Mark Rutte mipango yake ya usajili katika dirisha kubwa linalofata ni kuwauza kina Bruno Fernandes, Marcus Rashford, Alejandro Garnacho, Luka Shaw pamoja na Fercundo Pellistri kisha asajili vijana machachari kabisa toka Uholanzi wanao kipiga kwenye league bora kabisa duniani Eredivisie league.
Hizi hapa super sub za jasusi, stafeli na topetope lake zikipongezana kwa kufanikisha kutoka draw dhidi ya Spurs.Unamtoa AWB unamwingiza Malacia..
Huu si ni ujinga mtupu??..
Kocha ametukosti mara kibao tu na sub zake za kijinga..
Unamwingiza Ngongoti Werghost asiyeweza hata kutoa pass then unamtoa Sancho..
Ujinga mtupu..
View attachment 2602446
Nyie kitimoto manyumbu mkicheza uefa msimu ujao mniite mbwa jike
Fred lost the ball 9 times with a 70% pass accuracy.Mimi fred sijawahi mkubali kabisa ukiacha hiyo kukaba mle hamna mchezaji yani kiungo hawezi kupiga pasi, hawezi kushoot hawezi kudribble yupo tu eeeh kufika level ya city Bado sanaa. Fred hata kikosi cha pili pale city hatoboi.
Kwani mwanzo yalikuwaje ?Garnacho kapata mkataba mpya akaona siyo mbaya kurekebisha na meno. π
View attachment 2602526
Fred anashangaza sana mara chache sana kukuta anaperform vizuri mechi 3 mfululizo ,na anaweza kucheza vizuri mechi moja mpaka akakushangaza ila mechi inayokuja anakuwa from hero to zero.