Tumepitia mengi siku hizi asee.
Kwa kweli maoni yangu binafsi mchezaji pekee ambaye nikimuona anaingia Walau ninapata ahueni ni Wan Bissaka alafu unakuta eti wanawaza kumuuza.
Wan Bissaka abaki tu, kuna mechi maalumu amazo ni zake, hasa mechi ambayo timu pinzani mchezaji wap hatari anatokea kuria.
Refer Newcastle Saint Maximin, Brighton Mitoma, na timu zinazotegemea winga kujenga mashambulizi.
Kitu ambacho siafiki kabisa ni Rashford kukaa kati hasa tukiwa 0-0 au tukiwa tumetanguliwa, yaani tunakua ndio basi tena hakuna spark tena.
Mfano Jana, na Mechi ya Liverpool. Tunawachezaji wabovu ndio ila kuna wengine wanajitahidi, mfano jana Martial kua kati alijitahidi kukaba tukawa tunawapokonya mipira Rashford akikaa kati ni majanga.
Tatizo lingine ni kocha inamaana hapitii video aone mbele kuna ubnafsi wa hali ya juu na kukosa ukatili kabisa.
Anthony anawaza kufumua shuti tu.
Kocha anatakiwa kuwa mkali asee. Tunarudi kule kule kwa Ole.
Naamini Anthony angekua anawaza kuassisst kelele juu yake zingezim maana angesaidia sana.
Mwisho inabidi timu isafishe MAGUIRE kwa hali yoyote, Kina Elanga, na wajinga wengine.
Msimu ujao kuwe na sura mpya zenye passion ya Licha.