adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,787
- 37,793
Fan wa Arsenyanus waliotelekeza jukwaa lao wanakuja na ID mpya kila siku kuficha aibu zao.Ndio Timu hii ambayo juzi tu wahuni wa Sevilla walimaliza Paketi nzima ya DUME Condom kwenu kwa mikojo MITATU mubashara??[emoji1787][emoji1787]kama ndio basi hakika Binadamu tumeumbwa kusahau mapema sana[emoji1787][emoji1787]