Unadhani kubeba treble ni kunya sio.Nyumbu hivi si mnajua treble inatafutwa?
Sasa nyie leteni kichwaboga magwaya wanaume tujipigie goli 8.
Haujanielewa, nimesema treble inatafutwa, kutafuta sio kupata.Unadhani kubeba treble ni kunya sio.
Yani hata fainali ya uefa bado mjafika mnawaza fainali small team mentality bwana.

Mechi ya kwanza yeye ndiyo alijifunga goli la kizembe kabisa kwenye injury time tena OT. Kule Spain dk za mwanzo kabisa akachoma.chuma3 alisababisha yeye wewe sevila umemfunga lini mara ya mwisho![]()



Mara ya mwisho City tulimpiga. Haaland alikuwa wa moto ila siku hiyo aliishia kuzurura tu akatoka bila on target dk 90.uzuri n kwamba mmefurahia kudroo na Brighton ili mkacheze na man city fainali mpigwe goli za aibu tena kabla ya msimu kuishaView attachment 2597468
Yani treble yenu ya mashaka sana maana kwa Madrid hamtoboi, wahuni wanalitafuta la 15. Halafu pale Wembley ndiyo uwanja wetu wa mazoezi msimu huu.Nyumbu hivi si mnajua treble inatafutwa?
Sasa nyie leteni kichwaboga magwaya wanaume tujipigie goli 8.
Man Shitty viazi sana. 😂 Hawajamfunga Madrid tayari wanawaza treble.Unadhani kubeba treble ni kunya sio.
Yani hata fainali ya uefa bado mjafika mnawaza fainali small team mentality bwana.
Hamuwezi kuvunja record ya treble. Hilo nina uhakika 100%.Haujanielewa, nimesema treble inatafutwa, kutafuta sio kupata.
Naona nyumbu mnawaza itakuwaje tukivunja hiyo rekodi yenu ya 1998/99
Rekodi zinawekwa ili zivunjwe na hii haiepukiki msimu huu.