Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Siioni Man Utd inavyoenda kuwauza wachezaji 13 mwisho wa msimu.

Labda tuwe na jeuri ya kuvunja mikataba yao na kuwatimua na mwenye uwezo wa kufanya hivyo ni Qatar tu akiwa mmiliki.

Ila tunahitaji complete overhaul hata De Gea niliekuwa namtetea nae aende na maji.

Wachezaji wanaotakiwa kubaki ni wachache sana kuliko wanaotakiwa kuondoka.
 
TOA SANCHO..TOA MARTIAL na wasianze mechi yoyote ya United pumbaf zao. WEKA RASHFORD na PELISTRI boli litembee.

TOA MAGUIRE, TOA DALOT weka SHAW na MALACIA.

TOA ERICKSON mpira una kasi sana hawezi hii kasi, WEKA FRED
 
Maguire kisiki ukuta wa Berlin mitano tena

Elanga winga teleza anapiga klosi dongo matata saana apewe mkataba wa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…