Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tema mate kwa AWB
 
Yani hii game Sevilla walivyokuwa wanaitaka, mda wote wanakimbia. Wachezaji wa unyumbuni lazima wakalale na viatu Leo. Alaf hapo J2 mna Brighton, mbona kazi mnayo
Sio hii ata pale OT walipeleka moto sio haba nikajisemea tu kwa Injury hizi tukienda kwao sidhani kama kuna kutoka salama
 
Sijawahi kumpenda wan bissaka na tokea siku ya kwanza kusajiliwa kwake nilikuwa wa kwanza kupinga usajili wake humu ndani.

Hata hivyo naiona dalili ya kwenda kufanya kosa kubwa sana la kimaamuzi kwa klabu,

  • ni kosa kumpa mkataba mpya dalot diogo na kumuuza wan bissaka
  • Diogo dalot hana sifa ya kupewa mkataba mpya
  • Ni sahihi kuwauza wote wawili na kutafuta fullback mwengine
  • Pia ni sahihi kutafuta fullback mwengine na wakati huo huo tukambakisha wan bissaka.

Muda ndiye mwalimu mzuri wa maamuzi na mawazo
 
Hamna kitu pale zaid ya slide tackling twende kwa Cancello fullback ya mpira
Cancelo awezi kukubali kwannza nae ni mweupee shahidi World Cup kule walikua wanapita tu

Kinachouma zaidi ni kutolewa na the worst version of sevilla tena inayoshika nafasi ya 13 mkiani wakati tuliwatoa barca inayoongoza ligi kwa point 73+

Goli la kwanza Maguire naona kabsa jamaa anatatizo la saikolojia linalomfanya akose kujiamini 10hag achukue hata U21 beki mmoja bila hvyo si ajabu tusitoboe hata top 4 EPL kule FA sina shaka tutafika nusu alaf tutakutana na city atatubonda kama ngoma

Gane ijayo Spurs Nao WATAPATA POINT 3 VIZURI TU
 
Magoli matano yote ya mauzembe uzembe utd hii game waliiharibu wenyewe, plus injuries na kadi za Bruno ndo kabisa, ila Maguire,Sancho,dalot,martial,mzimu(weighorst) achaneni nao walahi, wakiwepo next season watawalia mshahara wa Bure wazee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…