Sijui Mwl aliona nini !.Huyo weghorst hajui mpira
Huwezi kumtegemea mchezaji mmoja tu huo ni ujinga.Mchukie unavoweza, mtukane unavotaka ila bruno ndio fundi mipango wa hii team.
Sancho Mazembe na mlaini kabisa.Hii game imetoa picha aina ya wachezaji tulionao yaani wachezaji wa akiba ni kama hawana uwezo au hawana morali ya kucheza yaani hata Cardiff utd hawapati number. Martial, Lindelof Maguire na Sancho hawa waondoke tu aisee, kwangu mimi Weighorst ni bora awe anaanza hata kama hafungi huwa analeta balance kwenye timu kuliko mzembe Martial na Sancho.