Degea alimrudishia mpira katika mazingira magumu ,Maguire tulimkosea nini kwani?. [emoji16]View attachment 2594542
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516]Captain Maguire kisiki ukuta wa Berlin umelikomesha hilo jasusi la Dutch government hapo MANCHESTER United
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]ha ha ha ..Tuna imani na captain Maguire kisiki ukuta wa Berlin
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Captain Maguire chuma cha mjerumani
Presha ya camp nou uliiona???Tumebana wapi?
wahuni wamepanua tundu mwanzo mwisho.
Hii timu ni ya kisenge sana, haijawahi kuperform ikiwa kwenye presha.
Ndo wametoka injury10 Hang kwanini uwa aanzishi full kikosi? Game ya leo hii kweli ilikuwa ya kumuweka Shaw na Rashid nje mpaka kipindi cha pili?
Hapana sio kocha ni jasusi la Uholanzi ametumwa kuja kuihujumu na kuifilisi Man Utd [emoji16][emoji16][emoji16]Mna uhakika Eric ten hag alikuwa ni kocha kweli ?
[emoji38][emoji38][emoji38]gaucho mtupu[emoji1787]Anthony akiwa Ajax , Erevedise ligi ya wakulima alikuwa na 12 GOALS AND ASSIST
7 hag alikuwa nae pale Ajax ,hivo aikuwa anajua kabisa hili Ni FAMBA
Cha ajabu alipokuja manjesta kawadanganya mabosi Anthony Ni Gaucho mtupu , mashabiki wakasambaziwa Clip video za YouTube akipokea mipira kwa visigino .
JE 7HAG ANA UWEZO MDOGO WAKUSAJIRI AU ANAINUFAISHA AJAX KUPITIA MANJESTA?
Tulionya na tutaendelea kuonya hapa MLIPIGWA TENA PAKUBWA
10 Hang kwanini uwa aanzishi full kikosi? Game ya leo hii kweli ilikuwa ya kumuweka Shaw na Rashid nje mpaka kipindi cha pili?
[emoji38]Bora minziro kuliko huyu chacha ten hag linamuhujumu captain Maguire kisiki ukuta wa Berlin
Wachezaji wa barcelona hawakuwa ngangari kimwili ndio maana tuliweza kwenda nao.Presha ya camp nou uliiona???