Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,201
- 37,401
Halla Sevilla
Halla Spain [emoji91][emoji91][emoji91]
Mkuu nihakikishie maana nataka kuweka mshahara wangu wote hapo leo walau sikukuu ipendeze.Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Sevilla 1 vs Manchester United 2
[emoji355]Time
4:00 usiku
[emoji2522] venue
Ramòn Pizjuàn
Last match
Manchester United 2 vs Sevilla 2
Cha ajabu tutao shinda ni man u ila wataumia mashabiki wa Arsenyani.
Kauli ni moja tu.
Pigaaaa
Uaaaaa
Chinjaaa
Malizaaaa [emoji16][emoji16]
GGMU [emoji83] [emoji83][emoji83]View attachment 2594136
Na nyie mna taka kurudishiwa zile 7 za Liverpool ziwe zenuJuventus wamerudishiwa alama 15 walizopokonywa
Kuna takataka kibao humuKuna virusi viko humu vinaharibu sana uzi wetu
Uhakika, tushashinda.Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Sevilla 1 vs Manchester United 2
[emoji355]Time
4:00 usiku
[emoji2522] venue
Ramòn Pizjuàn
Last match
Manchester United 2 vs Sevilla 2
Cha ajabu tutao shinda ni man u ila wataumia mashabiki wa Arsenyani.
Kauli ni moja tu.
Pigaaaa
Uaaaaa
Chinjaaa
Malizaaaa [emoji16][emoji16]
GGMU [emoji83] [emoji83][emoji83]View attachment 2594136
Hapo baadae kidogo kocha atoe Halima Gwaya aingie Shawberto Carlos.
Dstv wanakeraDSTV game inaonyeshwa chanel ipi apa laliga naona wanafilimba ulembe tu[emoji35]
Nadhani ni hapahapa 224DSTV game inaonyeshwa chanel ipi apa laliga naona wanafilimba ulembe tu[emoji35]
sasa game ishaanza afu wmekomaaa na hawa wajinga wanaoruka ruka na extra time yao DSTV hawana utaratibu mzuri pumbavu zaoNadhani ni hapahapa 224
Weka channel 250sasa game ishaanza afu wmekomaaa na hawa wajinga wanaoruka ruka na extra time yao DSTV hawana utaratibu mzuri pumbavu zao