asahd
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 341
- 467
Dstv wanakeraDSTV game inaonyeshwa chanel ipi apa laliga naona wanafilimba ulembe tu![]()
Dstv wanakeraDSTV game inaonyeshwa chanel ipi apa laliga naona wanafilimba ulembe tu![]()
Nadhani ni hapahapa 224DSTV game inaonyeshwa chanel ipi apa laliga naona wanafilimba ulembe tu![]()
sasa game ishaanza afu wmekomaaa na hawa wajinga wanaoruka ruka na extra time yao DSTV hawana utaratibu mzuri pumbavu zaoNadhani ni hapahapa 224
Weka channel 250sasa game ishaanza afu wmekomaaa na hawa wajinga wanaoruka ruka na extra time yao DSTV hawana utaratibu mzuri pumbavu zao
Na maguire kachoma huko tushapigwasasa game ishaanza afu wmekomaaa na hawa wajinga wanaoruka ruka na extra time yao DSTV hawana utaratibu mzuri pumbavu zao




Et rafiki angu hadi waende tuta sio leoDstv wanakera sana
Mkuu kifurushi changu ni cha kawaidaWeka channel 250
haipoWeka channel 250
changu cha 56000haipo
Subiria hiyo mechi iishe mtaoneshwaKifurushi cha 23000 mechi ipo channel ipi wakuu