Ten Hag inatakiwa amtoe mapema tu amuingize Garnacho sio asubiri mpaka jua lizame.Sancho hehehee
Dogo bado aisee
Mm nikipewa Eric ten hag na Nicholas Anelka namchukua Didier kavumbaguTukubaliane tu Sancho kaishaaaaa. Nikipewa Sancho na Lingard namchukua Lingard.
Nilisoma nae alikuwa ni mvivu kweliSancho ni mchezaji mpumbavu sijapata kuona..
Ten Hag ni JASUSI la Ajax hapo MANCHESTER United trust meMartial out kwamba ndo tumemaliza game??
Makubwa
Tunaongoza 2 - 0. Martial kuendelea kubaki uwanjani ni risk sana. Huyo ndiyo tegemezi baada ya Rashford kuumia.Martial out kwamba ndo tumemaliza game??
Makubwa