ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,554
- 7,992
Acha kabisa, Dalot aozee nje tu.AWB leo anapiga boli..
Acha kabisa, Dalot aozee nje tu.AWB leo anapiga boli..
Thiago alcantara yuko wapi?Bila Quality yakutosha ukicheza huo mpira unakuwa matatizon, ndicho naaona kinawatokea Liverpool ,wanafanya pressing, high line , lakin MF imechoka ,
Watajuana na aliyemleta.Huyu antony amekuwaje mjinga namna hii
Bruno leo anatoa mashuti ya mbali tu yangezaa magoli ingekuwa [emoji91]EtH niletee Harry Kane, tuna jambo letu msimu ujao.
Hawa viazi wanafanya Bruno akose assist. Wanapewa mipira ya kila aina.
We mjinga..umekaa hapo uanze kuisakama Man U mbovu, umeona pira linalopigwa umehamia kumsakama mchezaji mmoja..Huyu Anthony 2big chances kakosa
Halafu eti €100m
Tukisema mmepigwa mnakasirika
Injury pia umri umeshamuacha, Huyo na fabinho walikuwa wanazuia Sana ,muangalie fabinho alivyochoka siku hiziThiago alcantara yuko wapi?
Chukua hiiUmetoka kwenye hoja umehamia kwenye matusi
Mimi matusi siwezi
Nilijua hoja niliyoweka utakuja na makasirikio tu
Sababu kaguswa mchezaji wa €100m
Nisamehe
Hapa ndipo mnaponifurahishagaWe mjinga..umekaa hapo uanze kuisakama Man U mbovu, umeona pira linalopigwa umehamia kumsakama mchezaji mmoja..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa ndipo mnaponifurahishaga
Kumbe mnapenda mpira mzuri enhee
Ule mpira wenu wa kuvizia Kaunta huwa mnajikaza tu
Ni hivi Everton bado quality ndogo
Mm mshabiki wa Title contenderBwana mdg cjui ni shabiki wa timu gani?
Kitwa unashinda kwenye uzi wa Manchester United
Mm mshabiki wa Title contender
Everton quality ndogo..alikufanyaje weweHapa ndipo mnaponifurahishaga
Kumbe mnapenda mpira mzuri enhee
Ule mpira wenu wa kuvizia Kaunta huwa mnajikaza tu
Ni hivi Everton bado quality ndogo
Nani alikuambia mpira mzuri ni ule wenu. Sisi mpira mzuri ni wa counter attacks.Hapa ndipo mnaponifurahishaga
Kumbe mnapenda mpira mzuri enhee
Ule mpira wenu wa kuvizia Kaunta huwa mnajikaza tu
Ni hivi Everton bado quality ndogo