Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Team ina mizigo mingi sana tukipata hata sare ni bahati
Utaambiwa una chuki na 7 hagIla timu yetu bana haichezi vizuri kabisa ni vile tuna bahati ila mpira wetu hovyo sana unakera..
Na anaongezewa mkataba wa miaka mitatuKocha mjinga huyu..yaani watu wa kutuokoa ni Sancho na Martial. Nimecheka kweli.
Kamtoa Isak kamtoa Maximin.Huyu Kocha kwann anamtoa St Max? Mbona mm ndio nilikuwa namuona tishio