Msamehe mkuuChelkenge toka msimu unaanza mmesajili January mkasajili, Cha ajabu hatuoni Chemistry Wala Biology
Kikosi Cha €500m unataka chemistry ya wapi?
Msimu unaisha huu bado mnasaka biology na chemistry?
Pale timu huna ,kocha huna
Spurs kakubomoa na wazee wake na yupo kugombea top 4 , wewe unagombea usishuke daraja
Unafananishaje huu mfano na Everton kumfunga Arsenal
What does this mean mkuu.Brandon Williams has been videoed appearing to inhale nitrous oxide from a balloon near #MUFC’s training ground.
[Sun Sport]
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2567947
Soccer safi bila ubingwa wowote, ni upuuzi na robo.Tusidanganyanye, hakuna mashabiki wasiopenda mpira mzuri
Hakuna mashabiki wanaopenda muda wote kubana mapumb*
Yaani unataka kusema Kuna mashabiki wanapenda muda wote timu Yao kupumuliwa?
Kuna shabiki wa Manjesta humu alinidanganya anapenda mpira wa kupumuliwa na kuvizia kaunta
Walipocheza na Spurs ya Conte ,Kama kawaida Conte akapaki Basi, Manjesta wali flow Sana walipiga Soka Safi ile mechi
Kuja humu na Twitter wanafurahia soka Safi na kusifu kwa mapambio
Kumbe alikuwaga striker?? Mechi 2 goli 4 mbona anamoto sana.Hivi kwanini Mourinho alimbadilisha McTominay kutoka kuwa striker na kuwa kiungo!!!
Scotland anatupia tu, nakumbuka hili goli alijitupa kama Haaland.
View attachment 2569226
sio mourinhoHivi kwanini Mourinho alimbadilisha McTominay kutoka kuwa striker na kuwa kiungo!!!
Scotland anatupia tu, nakumbuka hili goli alijitupa kama Haaland.
View attachment 2569226
7upLeo tutawapiga kama Ngoma na mtueleze mnapambania top 6 au top 10?
KabisaWatu wanafikiria hii mechi Man anafungwa watakuwa wanakosea sana
DahUse.nge mtupu..
Hata siangalii tena
Hawa wakabaji muda huu walitakiwa wawe police stationKOSA KUBWA KWA KOCHA....KUWATOA WAKABAJI WA TIMU..FRED & WERGHOST.
Ila sio kwaWin or Loose...We are United
GGMU
Nyinyi mmefungwa 7 kwa 0
Tulizidiwa hafu nataka mni jibu mnaenda Kufanya nini Uefa kwa aibu hii mnayoleta?Hivi mnagongwaje saba lakini????makusudi au???maana hata kahaba anayejiuza hawezi kukubali huo ujinga
Wewe ni mbwakoko Barcelona ya Messi ilikula 8 dhidi ya Bayern Munich tatizo lako huna akili mjinga weweHivi mnagongwaje saba lakini????makusudi au???maana hata kahaba anayejiuza hawezi kukubali huo ujinga