Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaa hii imenifurahisha sanaaaaaa....tuiingize kwenye mtaaala

tumwagize mkuu Nzi aipeleke kwenye taasisi ya kiswahili kwanza,ikipita tuipeleke baraza la mitihani iwe swali la lazima kila mwaka kwenye somo la kiswahili.
 
Last edited by a moderator:
hivi moyes ana historia ya kucheza mpira?? Maana inawezekana ikawa tunamuonea bure kumbe mpira kausomea tu ukubwani.anatupa tabu sisi ambao toka tumezaliwa tunacheza mpira .
Wewe unajua vigezo gani vilitumika kumwajiri Moyes kuwa kocha wa Man United?
Uliza uambiwe.
 

kaka una roho ngumu kama zombie!
 
Na hapo goons nani aje kuokoa jahazi? Miaka 9 sasa, patupu. Imarati, neno, kombe la ubingwa, halipo kwenye msamiati, ati!


Manure walikaa miaka 50 khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Reactions: Mbu
You can sign all world class players You like....But without a competent manager...there will be NO SUCCESS!!!
 
Akili za Mzee Akilimali hizi.

you are taking man u too much serious while the managger of man u dm is not serious enough so y should i,ok back to the topic kuuliza si ujinga nitoe ujinga moyes amecheza mpira au hajacheza na kama alicheza ilikuwa na. Ngapi??
 
Reactions: Mbu
Hahaaaa timu pasua kichwa mpaka basi..fukuzeni kocha hamtaki
 
Naomba ruhusa ya kunakili hiyo methali kwenye twita akaunti yangu...hahahahahahahahhahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…