Haya maneno kwenye mpira hayasaidii kitu sana sana huwa ni yakujifariji tu. Timu yetu siku hizi inashinda tu hata ikicheza vibaya kama vile zile enzi za Sir Ferg. Kwa sasa timu inacreate nafasi nyingi sana ila tunaconvert chache, tukimpata Hary Kane msimu ujao, right back mmoja na kiungo mkabaji mmoja hakika watatutambua.
Ule mpira aliopiga Sancho ulikuwa unaenda wavuni. Hatujawatuma sisi wapate red cards. Vyovyote vile ile game ilikuwa ishabadilika maana mpira ulikuwa unaenda wavuni watake wasitake, Willian akajikuta mjanja kipindi hiki cha Technology kibao.