Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawa Benfica huu mpira wanaocheza walijifunzia wapi?
Hivi karibuni sijaona timu inayocheza mpira mzuri namna hii
Kuliko Arsenal?

Leao said:

"I’ve seen a lot of games this year.

"I like Arsenal, ....they play very well."
 
Ila kuna kitu nyuma ya pazia...kipindi cha mzee ferg sikuwahi kushuhudia maumivu kama haya ni KWA nini Man U imekuwa laini kiasi hiki?
Aisee! Kila nikikaa nafikiria goli saba nahisi kama kuna msiba.
 
Ila kuna kitu nyuma ya pazia...kipindi cha mzee ferg sikuwahi kushuhudia maumivu kama haya ni KWA nini Man U imekuwa laini kiasi hiki?
Aisee! Kila nikikaa nafikiria goli saba nahisi kama kuna msiba.
Mpira wa zamani wa miguvu kulukundu sasa ivi haupo mdau timu nyingi ni laini mno so ukiotewa kula saba kawaida tu
 
Ila kuna kitu nyuma ya pazia...kipindi cha mzee ferg sikuwahi kushuhudia maumivu kama haya ni KWA nini Man U imekuwa laini kiasi hiki?
Aisee! Kila nikikaa nafikiria goli saba nahisi kama kuna msiba.
Me naona na Tactical approach ya kocha(10Hag) imechangia sana wao kula 7, kwa sbb huwez sema unaenda kiwanja chenye atmosphere kama Anfield hlf unasema mara ooh wana miguu miwili kama sisi sijui refa ni wa4 mara mpr ni round ule ule.. Izo porojo nilijua anasema tu kwny press kuwapa confidence wachezaj kumbe akaenda kbs sik iyo bila heshima akataka kupishana na liva bila kujua fika wapo kwao kwny Wild atmosphere ambayo team nyng zinakupa ushuhuda ni ngum kudeal nayo.

Nilikua nasikiliza interview moja ya Rio wanasema kipind kile wanaenda anfield wanajua kbs ni tough game na babu(Fergie) alikua anachange game plan wanacheza 4-5-1 ili wawe more compact na wacheze waksbr moments za kuvizia kuwakuta liva off guard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…