Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hizi dharau Liverpool hawezi kuzifanya mbele ya Real Madrid lkn anaweza kuzifanya mbele ya Man United na Barcelona. Inasikitisha sana.
Dharau gani liverpool anaweza ifanya mbele ya barcelona?

Au mpira umeanza kuangalia msimu wa UEFA 2018/2019?


Angalia stats za liver vs barca
 
Hebu tuache kidogo mzee.
 
Cheza mwenyewe huo UJINGA wako,hapa tunazungumzia SENGE moja KUGONGWA 7 jana na sio mambo ya kucheza Jupita sijui,acha uchoko
 
Ni Opinion but not Facts.
Hakuna kitu kinaitwa arrogance kwenye mpira.
 
Jana tumechapika balaa, tuliingia kwenye mfumo wa wahuni na tukajaa kweli kweli, sema sio mbaya tumecheza game kibao mfululizo.

Muhimu tuko bado kwenye mashindano yote, nasemaje ubingwa wa EPL bado tunautaka mjiandae mlio juu huko tunakuja maana tusha maliza game za kufungwa zilizo baki ni kujipigia tu.

SEMA SABA NYINGI AISEE.
 
No ni 2004/2005.

Stats zinaonesha Liverpool alisonga mbele mara mbili kwenye hatua zinazofuata kwa kukutoa, Kwangu bado hiyo ni dharau tu.
Ila liver kufungwa mara nyingi zaidi na barca ni heshima!

Siku hizi heshima ya klabu inapatikana kwa kufungwa zaidi na mpinzani wako?
 
Kiukweli mwamba Martinez alionekana kuchoka sana.

Fernandez alionekana kuchoka sana. Jana nilimkimbuka Mzee Ferguson

Alikuwa Fernandez apunzike, asianze, akae sabtzer...

Alikuwa amuweke margure, Bisaka, Malaysia na yule mswdesh backline.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…