Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,559
- 6,557
Kondoo mmeshindaje??
Tuliingia CHA kikeJana tumechapika balaa, tuliingia kwenye mfumo wa wahuni na tukajaa kweli kweli, sema sio mbaya tumecheza game kibao mfululizo.
Muhimu tuko bado kwenye mashindano yote, nasemaje ubingwa wa EPL bado tunautaka mjiandae mlio juu huko tunakuja maana tusha maliza game za kufungwa zilizo baki ni kujipigia tu.
SEMA SABA NYINGI AISEE.![]()
Kwamba wewe ni kocha kumzidi ten hag anayekaa na wachezaji Muda woteIngawa 7 ni nyingi lakini bado zinatoa point tatu kama anayeshinda 1-0 tu. Arsenal,man city,liverpool,n.k zimeshinda kwao nasi tumeshinda kwetu.
Mtizamo wa kwanza kabisa kwa EtH ilikuwa kufahamu anaenda kucheza away kwa Liverpool ili achukue tahadhali ya kutosha kwa maana ya kupata walau droo tu. Matokeo ya arsenal kwao na City kwao yalitosha kumwambia timu huwa na sura tofauti kwenye uwanja wa nyumbani maana hii ni EPL na sio Eredisie ambapo Ajax anashinda popote anapotaka kwa idadi ya magoli anayotaka.
Rotation ya wachezaji imekua ni shida kubwa sana hasa nafasi za ushambuliaji na kiungo. Mfano mzuri ni Bruno,amekuwa hapumzishwi mechi hadi mechi matokeo yake jana alikuwa anapiga pasi kama amejikwaa vile. Hii wengi wetu tutasema sababu ya kikosi kidogo lakini kuna mechi walau dakika 10-15 za mwisho weka wale madogo wa akademi wakajaribu kutushangaza pia.
Pamoja na kwamba ratiba imechangia sisi kufungwa kwenye hii mechi kwa 50%,ila fomu yetu nzuri ya ushindi imepelekea sisi kupoteza hii game kirahisi na kwa kudhalilika hivi. Tangu mwanzo wa mechi Peter Drury anasema De gea anaonyesha kuanza kupoteza muda ndani ya dakika 10 za mwanzo. Kwamba Man utd walijua watulize presha ya liverpool mwanzoni halafu muda wao wa kushinda mechi utafika wakati wowote. Hii kujiaminia muendelezo mzuri ukafanya tufungwe maana tuliamini bahati bado iko upande wetu siku zote.
Conversion rate ya Rashford inatia huzuni sana. Ana rekodi nzuri siku za hivi karibuni ila bado inategemeana ameamkaje siku ya mechi ili kukupa kiwango stahiki. Tunamhitaji striker wa maana kama msimu ujao tunataka kupambania ndoo kubwa kubwa na wenzetu na wala sio kumtegemea Rashford kwa kazi ya kuzalisha magoli.
Lesson learned and we move forward.
GGMU.

Game zilizobaki wakienda kichwa kichwa una wahuni wanaoshuka daraja na hakika kuna match Tatu mpaka nne za kupakatwa.Uingereza ni pahala pa ajabu sana.
Mpira wa jana Liver walivyoanza walikuwa kama hawana muda na Magoli..waliweka asali ambayo kulamba ni tamu ikikaa kidogo mdomoni chungu.
Tulifanywa mambo mabaya yasiyo na utu ndani yake..

.....Fegi alisema Rashford sio straiker tunahitaji straiker.Ingawa 7 ni nyingi lakini bado zinatoa point tatu kama anayeshinda 1-0 tu. Arsenal,man city,liverpool,n.k zimeshinda kwao nasi tumeshinda kwetu.
Mtizamo wa kwanza kabisa kwa EtH ilikuwa kufahamu anaenda kucheza away kwa Liverpool ili achukue tahadhali ya kutosha kwa maana ya kupata walau droo tu. Matokeo ya arsenal kwao na City kwao yalitosha kumwambia timu huwa na sura tofauti kwenye uwanja wa nyumbani maana hii ni EPL na sio Eredisie ambapo Ajax anashinda popote anapotaka kwa idadi ya magoli anayotaka.
Rotation ya wachezaji imekua ni shida kubwa sana hasa nafasi za ushambuliaji na kiungo. Mfano mzuri ni Bruno,amekuwa hapumzishwi mechi hadi mechi matokeo yake jana alikuwa anapiga pasi kama amejikwaa vile. Hii wengi wetu tutasema sababu ya kikosi kidogo lakini kuna mechi walau dakika 10-15 za mwisho weka wale madogo wa akademi wakajaribu kutushangaza pia.
Pamoja na kwamba ratiba imechangia sisi kufungwa kwenye hii mechi kwa 50%,ila fomu yetu nzuri ya ushindi imepelekea sisi kupoteza hii game kirahisi na kwa kudhalilika hivi. Tangu mwanzo wa mechi Peter Drury anasema De gea anaonyesha kuanza kupoteza muda ndani ya dakika 10 za mwanzo. Kwamba Man utd walijua watulize presha ya liverpool mwanzoni halafu muda wao wa kushinda mechi utafika wakati wowote. Hii kujiaminia muendelezo mzuri ukafanya tufungwe maana tuliamini bahati bado iko upande wetu siku zote.
Conversion rate ya Rashford inatia huzuni sana. Ana rekodi nzuri siku za hivi karibuni ila bado inategemeana ameamkaje siku ya mechi ili kukupa kiwango stahiki. Tunamhitaji striker wa maana kama msimu ujao tunataka kupambania ndoo kubwa kubwa na wenzetu na wala sio kumtegemea Rashford kwa kazi ya kuzalisha magoli.
Lesson learned and we move forward.
GGMU.
Wala hajakosea, tena kaongea bila disrespect yoyote kwa club ya Liverpool ila mtazamo wake alipoulizwa kuhusu kucheza Anfield ndiyo huo.View attachment 2539117
Jamaa sijui anajiona nani.. ni unprofessional kuongea kauli kama hizo.
Maneno hayo ilitakiwa aongee shabiki na sio kocha.
Bichwa boflo kampa moyoo now anajiona anajua zaidiiFegi alisrma Rashford sio straiker tunahitaji straiker.
Nachokumbuka kila aliyeongea shombo about Anfield after 90 mins Lazima atoke na kilioWala hajakosea, tena kaongea bila disrespect yoyote kwa club ya Liverpool ila mtazamo wake alipoulizwa kuhusu kucheza Anfield ndiyo huo.
Kama tusingefungwa jana wala usingeleta hii.
Msimu wa dirisha la usajili sura hizi zipatikanaje Man United.
1 Goalkeeper Diego Costa.
2. Fullbacks
LB David Raum
RB Robin Gossens
3. Centre back
Joško Gvardiol
4. Midfield,
Nicolo Barella/ Alexis Macllister/ Joao Palinha.
5 Striker
Osimhen au Harry Kane.
Vinginevyo bado safari yetu ni ndefu sana.
Wakongwe kina Scholes wanasema enzi zao chini ya SAF walikua wakienda ugenini kwenye mechi kubwa wanacheza 4-5-1, lazima uheshimu timu kubwa huwezi force kwenda nao toe to toe. Wanaosema fatigue sikubaliani nao, shida ni choice of players na formationhii gemu ilimuhitaji malacia, AWB na sabtzer
Anyway me bado nipo na Turst the process GGMU
Kocha huyu tangu akiwa ajax, anapenda sana kushambulia. Na ndiyo maana uliona jana badala ya kuwa na nidhamu ya ulinzi akafunguka kujaribu kurudisha magoli - zahama za counter attack zikamkuta. Klopp alijua kuwa second half atafunguka tu. Poleni sana, ndiyo mpira wa miguu ulivyo. Mlivyompiga mtu 8 nae aliumia lakini maisha yakaendelea.Wakongwe kina Scholes wanasema enzi zao chini ya SAF walikua wakienda ugenini kwenye mechi kubwa wanacheza 4-5-1, lazima uheshimu timu kubwa huwezi force kwenda nao toe to toe. Wanaosema fatigue sikubaliani nao, shida ni choice of players na formation
Wahuni wanakwambia jana mtu kadondokea kwenye shamba la mbo..loMboo imetembea sana humu![]()
Tumeshapoa mkuu.Kocha huyu tangu akiwa ajax, anapenda sana kushambulia. Na ndiyo maana uliona jana badala ya kuwa na nidhamu ya ulinzi akafunguka kujaribu kurudisha magoli - zahama za counter attack zikamkuta. Klopp alijua kuwa second half atafunguka tu. Poleni sana, ndiyo mpira wa miguu ulivyo. Mlivyompiga mtu 8 nae aliumia lakini maisha yakaendelea.