Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Game ya Real Madrid na hawa wageni wetu wa alhamis pale OT Real Betis imeisha kwa 0 - 0

Jamaa wazuri sana na wana speed sana

Game yetu itakuwa nzuri na Ngumu

GGMU
Mkienda kucheza kwa kuheshimu wapinzani mtashinda

Hii mechi Liverpool alikuja kama underdog ***** mlinyanyua Sana mabega ETH amefundishwa somo muhimu Sana la kuwa mpole
 
Umeongea vizuri Sana ETH ni kocha mzuri lakini mdomo unammaliza
mdomo Sana kelele nyingi mno now atatulia
 
Nakuona afisa masoko una piga promo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Oya Wakuu mechi imeshaisha jana mmetushambulia vya kutosha tunaomba muache kupost ugoro wenu humu mtupishe tuanze uchambuzi tunaelewana ?
Tutaondoka ila kwa makubaliano haya

Unywe chapati saba na seven up leo

Na uache kupitisha makalio yako kwenye uzi wa livapuli na asenali mpaka msimu ujao Maana wewe Una kiherehere kweli

Deal ?
 
Dah hii game niliangalia first half nikapata dharura nikasepa sikuweza kurudi badae niko bize watu wanapita wanasema 7 nikasema nini tena kucheki livescore dah aibu sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…