Dah nmecheka sana,tuwahurumien jmnI hope usiku wenu ulijaa mauza uza kama yote
Saba unadhani mchezo??
Watu wasahaulifu nyie, mshasahau raundi ya kwanza man u walishindaMwisho wa msimu ndio maana hua tunamaliza na GD 0.
Liverpool ni timu isiyokua na utu hata kidogo kila inapokutana na Man Utd.
sanaa sanaaaHizi dharau Liverpool hawezi kuzifanya mbele ya Real Madrid lkn anaweza kuzifanya mbele ya Man United na Barcelona. Inasikitisha sana.
😰😰😰😰mkuu ni huzuni na bado gemu ilikuwa inaendeleaUlimaanisha -7
hii gemu ilimuhitaji malacia, AWB na sabtzerSaba ni nyingi mno hii combo ya varane na licha lilikua suala la mda tu...sema kipigo kama hiki unawakumbuka wachezaji wote waliobench mfano hii game angewekwa Sabitzer,AWB,Gernacho,Lindelof aisee inauma sanaa Case kavuruga Leo ni basi tu Rashford kacheza kama yule wa msimu ulioisha butuabutua tu Werghost daah,,Dalot wanamshushia lawama ila kajitahidi sana tu..DDG ivi kwanini kipa ni mmoja game zote waisa?? Wallah 7 ni nyingi mnoo GakpoSalah pekeake katufunga sio chini ya goli 10 kwa mech 5 vs liverpool qmnn Daah acha tutafte kibonde anaefata Soton tumpige kama tulivyompiga zile 9 sijui 8 msimu ule enzi za Pogba
Tumeloaaaa
#GGMU
Wala hamkukamiwa kila siku tunasema hii timu bado ,mech ngap mnashinda kimanyaunyau?Yaan ilikua puuh puuu goli, walitukamia sana
pambana ukacheze uefa SheikhNyie KENGE mnalala mpaka saa moja hii mna raha gani?amkeni mkajenge Taifa huko na mimba zenu za MIKOJO Saba Kenge nyinyi
Huo mpira ndo umenifanya nipo top 3Wala hamkukamiwa kila siku tunasema hii timu bado ,mech ngap mnashinda kimanyaunyau?
Sio kwamba liverpool wanatisha sana hapana wamekutana na team ambayo inacheza huku ikiwa haijui inachezaje
Kivipi!? United sio wazuri kwa kumiliki mpira wao wakipata mpira wanacheza direct football wote nyuma wanaacha mianya ambayo salah hawezi kukuacha salama hata nunez anamikimbio mizur sana
Mkuu Jana kichwa kimeniuma sana na bora ningeenda kuangalia mpira bandani ila nikasema nilipie niangalie burudani nyumbani,Wala hamkukamiwa kila siku tunasema hii timu bado ,mech ngap mnashinda kimanyaunyau?
Sio kwamba liverpool wanatisha sana hapana wamekutana na team ambayo inacheza huku ikiwa haijui inachezaje
Kivipi!? United sio wazuri kwa kumiliki mpira wao wakipata mpira wanacheza direct football wote nyuma wanaacha mianya ambayo salah hawezi kukuacha salama hata nunez anamikimbio mizur sana
Kosa kubwa alilolifanya Ten Hag ni kutosikilia ushauri wangu, siku moja kabla ya mechi nilimpigia simu na kumshauri game Vs Liverpool asithubutu kuwachezesha Rafael Varane na Casemiro maana Liverpool wakiwaona uwanjani ni kama vile umekua umewatonesha kile kidonda cha kufungwa na Madrid, vyovyote itavyokua wataforce kupiga comeback ili wasonge mbele kwenye Uefa.Mawodi yamejaaView attachment 2538899