Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,505
- 235,208
Siyo Chelshit tuNimekuja gundua hii team ina haters wengi kinoma, yaani kuna mashabiki wa the blues walikuwa wanaishabikia Liver mpaka nikadhani wao ni wadogo zake Klopp..!!
Kama binadamu,huruma iliniingia sana baada ya kuona jamaa ameweka sura hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo alienda kulia dressing room huyo
Weka msimamo, weka matokeo kabla ya kumlaumu kocha [emoji1787][emoji1787]KOSA KUBWA KWA KOCHA....KUWATOA WAKABAJI WA TIMU..FRED & WERGHOST.
kwaio mngecheza14[emoji848]Saba ni nyingi mno hii combo ya varane na licha lilikua suala la mda tu...sema kipigo kama hiki unawakumbuka wachezaji wote waliobench mfano hii game angewekwa Sabitzer,AWB,Gernacho,Lindelof aisee inauma sanaa Case kavuruga Leo ni basi tu Rashford kacheza kama yule wa msimu ulioisha butuabutua tu Werghost daah,,Dalot wanamshushia lawama ila kajitahidi sana tu..DDG ivi kwanini kipa ni mmoja game zote waisa?? Wallah 7 ni nyingi mnoo Gakpo[emoji91]Salah pekeake katufunga sio chini ya goli 10 kwa mech 5 vs liverpool qmnn Daah acha tutafte kibonde anaefata Soton tumpige kama tulivyompiga zile 9 sijui 8 msimu ule enzi za Pogba
Tumeloaaaa
#GGMU
Mchumba lala[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo alienda kulia dressing room huyo
Kwan maana ya SUB ni nini unazidi kunivurugakwaio mngecheza14[emoji848]