ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Wengi walitegemea kiwango kitashuka kutokana na umri kumbe jamaa ni kama "wine"Hadi muda huu nashangaa manchester united waliweza vipi kumsajili casemiro kirahisi sikuwahi kufikiria
Wengi walitegemea kiwango kitashuka kutokana na umri kumbe jamaa ni kama "wine"Hadi muda huu nashangaa manchester united waliweza vipi kumsajili casemiro kirahisi sikuwahi kufikiria
tangu NKETIAH awatie msumari wa moto makalioni hamjafungwa tena!!!bado msumari wake umekosa wa kuung'oaMwezi huu mpaka jana tumecheza game 7 na hatujapoteza hata moja
Hiyo ndiyo ratiba ya timu pekee ulaya inayocheza michuano mi4 tofautiTukimalizana na Newcastle katikati ya wiki tena Westham hawa hapa..
Yaani ni bandika bandua..ndani ya siku kumi tunakuwa tumecheza michuano minne tofauti.
Walikuwa wanatuhusisha pia na Federico Valvede, naye wajichanganye litudondokee dodoWengi walitegemea kiwango kitashuka kutokana na umri kumbe jamaa ni kama "wine"
Mkuu naweza pata link ya analyst yoyote aliye analyze pogba's time at United (tactically) strengths and weaknesses.Ten Hag says Newcastle are an 'annoying' team and questioned their time-wasting:
'They have the lowest in the league (for ball in play) and they are quite successful with it.' #mufc
Kuanzia leo naanza kufuata correct score zako najua katika 10 sikosi 3Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Manchester United 2 vs Barcelona 1
Time
5:00 usiku
Stadium
Old Trafford
Last match
Barcelona 2 vs Manchester United 2
Wewe sasa wabetie Barcelona hafu tuone kama hayo magoli utawafungia wewe.
GGMU![]()


tangu NKETIAH awatie msumari wa moto makalioni hamjafungwa tena!!!bado msumari wake umekosa wa kuung'oa
Group ya wapi wakati tulikuwa kwenye mtoano.Real Betis wali top their group so wanakuwa na advantage...





Natamani fainali ya Europa tukutane na Arsenal.





