Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jaribu kuangalia vizuri sana kila timu tunayorudiana nayo mara ya pili baada ya mchezo wa kwanza. Mf. Leicester, Leeds, Man City, Real Sociedad, Crystal Palace, Nottingham n.k

Huwa kuna kuwa na massive improvement kutoka mchezo wa kwanza pia yeye huwa anafanya kazi na football analysts wengi sana toka yuko Ajax. Ule mchezo wa Arsenal baada ya kufungwa ktk team talk inasemekana aliwaka sana aliwaambia wachezaji "if you want to win titles you need to change your mentality".
 
Nitakua wa mwisho kumkubali huyo mzimu wenu.
 
Jumapili tunanyanyua makwapa..it's been a while hatujafanya hivyo..EtH sidhani kama atafanya mambo ya Ole ..


But first acha tuwape kipigo Barcelona..OT mixer Casemiro ndani na mnyama Licha ndani
.aaah tutawaleta kati tu..aaah uhakika hapa.

Quadruple race tupo ndani...Carabao,FA,UEL,PL.

GGMU.
 
Pointi kubwa[emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…