GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,674
- 17,995
Hakuna cha ubaguzi, hakua na uwezo tuu.Hapo ndipo alipokosea Ole, alikuwa anaenda vizuri shida yake alikuwa na ubaguzi wa wachezaji yeye kila mechi ni wachezaji wale wale akawafanya wengine wakakosa furaha na kupoteza uwezo wao.
Ferndz kanzu imekaa mahali pake 😄
Mbona mnachafua nyuzi mzee yanga si Wana nyuzi Yao au hujui
Kuna maajabu fulani kayafanya ETH kwa Wan Bissaka huwezi amini, noma sanaSancho na Bissaka walikuwa wanagonga moja mbili dk za mwsho
Kwetu Tanga Cable zipo ila zinapigwa pin mara kwa mara na kina dstvSisi tunaotumia cable tunakula raha sana, shilingi 12000 kwa mwezi unaangalia mechi zote.
Chief-Mkwawa , huko kwenu darisalama hakuna kampuni za cable tv?
- Simba ndani ya canal sports
- Yanga ndani ya bein sports
- Premier league
- La liga
- Serie A
- Ligue 1
- Europa
- Champions league
- Fa
- Carabao
- N.k
Dah! Huo ujinga mbona hawaufanyi huku zanzibarKwetu Tanga Cable zipo ila zinapigwa pin mara kwa mara na kina dstv
Siku hizi nae anapiga chenga kama ronado vileKuna maajabu fulani kayafanya ETH kwa Wan Bissaka huwezi amini, noma sana
Cable inakuwa ni 1080??..yani UHD??Sisi tunaotumia cable tunakula raha sana, shilingi 12000 kwa mwezi unaangalia mechi zote.
Chief-Mkwawa , huko kwenu darisalama hakuna kampuni za cable tv?
- Simba ndani ya canal sports
- Yanga ndani ya bein sports
- Premier league
- La liga
- Serie A
- Ligue 1
- Europa
- Champions league
- Fa
- Carabao
- N.k
Kocha anahusika sana kwa viwango vya wachezaji. Tangu aje Ten Hag wachezaji wengi viwango vimepanda. Sisi bado tunapambana na mbeba mizigo wetu PotterKuna maajabu fulani kayafanya ETH kwa Wan Bissaka huwezi amini, noma sana
Aisee nakubaliana na wewe siku hizi anaupiga mwingi sana yaani one two one two na kulamba watu chenga siku hizi kwake ni kitu cha kawaida tu.Kuna maajabu fulani kayafanya ETH kwa Wan Bissaka huwezi amini, noma sana
Tena ni zaidi ya raha jamaniii.Wale mashabiki wa Yanga na Man Utd gonga like tujuane[emoji847][emoji847][emoji847]
Kwetu leo rahaaaaaaa[emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Cable=Analog haina Bandwidth ya kutosha kupitisha data nyingi hivyo.Cable inakuwa ni 1080??..yani UHD??
Huyo potter mumemkabidhi nguvu ya kimamlaka?Kocha anahusika sana kwa viwango vya wachezaji. Tangu aje Ten Hag wachezaji wengi viwango vimepanda. Sisi bado tunapambana na mbeba mizigo wetu Potter
Wegost jini lile ingawa watu wanalikataa tuAmefanya kazi kubwa sana leo hasa kwenye ukabaji na kuharibu mipango alikuwa yupo karibu kila mahali penye mpira, ni kweli leo kwa mara ya kwanza nimeona kapewa pasi nyingi na amekosa magoli ila siwezi mlaumu kwa kuwa timu imeshinda na pia niwapongeze mabeki na kipa wa Lester maana walisave au kublock mashuti yake.
Wachezaji si wanafanya mazoezi kila siku.?Alafu wakuu hii kitu ya timu yetu kujaribu kuimplement kuanzisha mashambulizi kuanzia mabeki sio nzuri kwetu.
De Gea ni traditional wa kizamani hana pass nzuri za mipira mara awapasie wapinzani.
Kingine mabeki tulionao wengine ni migogoro ukitoa Martinez wengine ndio hivyo hawana confidence ya kuturn na mpira.
Inapelekea wenyewe ndio tunatengeneza hatari langoni.
Why isiwe hivi, piga pembeni piga kati rushia winga, piga through ball kwa washambuliaji.
Maoni yangu tu.
Yaani tunasababishaga hatari langoni kifala kisa kumuiga Pep.