Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Verghost, Huyu jama noma sana. Sijui hata anacheza namba ngapi Jamaa linahangaika bhana, jamaa linakaba balaa.
Hana lolote.
Kama yeye ni mkabaji aende akakabe muembe yanga aone kama hawajamtia kibiriti.
 
Marcus Rashford is the first Manchester United player since Wayne Rooney to score in 7 successive home Premier League games

#TrustTheProcessETH
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230219_174418_011.jpg
 
Hawa watu Dalot Lindelof na Shaw hawapaswi kuanza pamoja.

Unakuta Shaw na Lindelof wasindikizaji sana.

Dalot akili ipo kushambulia tukipoteza mpira ndio hivyo mpira ni threat tena.

Wan Bissaka aiingie bana kupunguza makali ya kushambuliwa.
 
Alafu wakuu hii kitu ya timu yetu kujaribu kuimplement kuanzisha mashambulizi kuanzia mabeki sio nzuri kwetu.

De Gea ni traditional wa kizamani hana pass nzuri za mipira mara awapasie wapinzani.

Kingine mabeki tulionao wengine ni migogoro ukitoa Martinez wengine ndio hivyo hawana confidence ya kuturn na mpira.

Inapelekea wenyewe ndio tunatengeneza hatari langoni.

Why isiwe hivi, piga pembeni piga kati rushia winga, piga through ball kwa washambuliaji.

Maoni yangu tu.

Yaani tunasababishaga hatari langoni kifala kisa kumuiga Pep.
 
Hawa watu Dalot Lindelof na Shaw hawapaswi kuanza pamoja.

Unakuta Shaw na Lindelof wasindikizaji sana.

Dalot akili ipo kushambulia tukipoteza mpira ndio hivyo mpira ni threat tena.

Wan Bissaka aiingie bana kupunguza makali ya kushambuliwa.
Ungekuwa hapa karibu ningekupiga bonge la mbata..ongea ujinga wako wote usimguse Shaw.
 
Back
Top Bottom