Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
It won’t take long b4 they level
Ona chawi hiliIt won’t take long b4 they level
Mwamba ni majeruhi.Naona pimbi Anthony siku hizi anakula benchi tu
Pale nyuma kuna msindikizaji mzuri kama Shaw?Kosi la leo nina mashaka na upande Wa Dalot na Lindelof
Lindelof tatizo lake anasindikiza mpaka kwenye box, angekaa wan bissaka badala ya Dalot. Hakuna kusindikiza.
Gernacho kama kawa akianza majanga, ngoja tuone.
Why hawamfikirii facudo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilijua npo pekeangu nisiejua namba anayocheza jitu msitu(wheghorst)kila mahali yupo anatibua mipangoVerghost, Huyu jama noma sana. Sijui hata anacheza namba ngapi [emoji23][emoji23] Jamaa linahangaika bhana, jamaa linakaba balaa.
Hana lolote.Verghost, Huyu jama noma sana. Sijui hata anacheza namba ngapi [emoji23][emoji23] Jamaa linahangaika bhana, jamaa linakaba balaa.
Anacheza namba 10Verghost, Huyu jama noma sana. Sijui hata anacheza namba ngapi [emoji23][emoji23] Jamaa linahangaika bhana, jamaa linakaba balaa.
Kama ulivyoyapokea ile siku tunacheza na Arsenal, halafu akipelekewa mashambulizi sana huwa anageuka kuwa msindikizaji tu.Leo upande wa Shaw unapokea mashambulizi mengi mno..