Ronaldo fala sana, angepunguza mdomo angeondoka na medali na heshima kubwa sana pale Old Trafford.#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2520484
Ronaldo fala sana, angepunguza mdomo angeondoka na medali na heshima kubwa sana pale Old Trafford.
Ila yote kwa yote amemrahisishia EtH kazi yake.
Ronaldo hakuwa wa kwanza kulalamika kuhusu Glazers.Lkn Bila Ya Interview Yake ile Kuanika Uozo Wote Wa Glazers Huenda Timu Isingeuzwa Leo.
Hamna kitu kama hicho..Interview tu ya Ronaldo haiwezi kusababisha Glazzers wauze timu.Lkn Bila Ya Interview Yake ile Kuanika Uozo Wote Wa Glazers Huenda Timu Isingeuzwa Leo.
Ronaldo hakuwa wa kwanza kulalamika kuhusu Glazers.
Kabla ya hapo watu walishaanza kuchukua hatua juu ya hawa Glazers.
Hamna kitu kama hicho..Interview tu ya Ronaldo haiwezi kusababisha Glazzers wauze timu.
Mwaka juzi mashabiki waligoma hadi game yetu vs Liverpool ikahairishwa...Glazzers out ni kampeni ya muda mrefu.
Hii staili nahisi kama kupinga uonevu au ubaguzi dhidi ya watu weusi maana moana ndio wanatumia sana siku hizi kuanzia Welbeck ,Saka , Rashford na Tchoumeni WC22..Na kuna mmoja hapo kazaliwa karne iliyopitaView attachment 2521961
Duuh, mpka umeamua, kupotea kwa makusudi [emoji23]Duuuh Simba yangu
Nimelegea miguu yoteDuuh, mpka umeamua, kupotea kwa makusudi [emoji23]
Jogoo walipata Mtu wa kumtupia Lawama Ile fainali ila bila boko za jamaa kipigo kilikuwa un-kwepable.
Interview ya Ronaldo imechochea yeye kutimuliwa na sio kuwaondoa Glazers.Ni Kweli Watu Toka Kitambo Walikuwa Wakiwalalamikia, Lkn Interview Ya Ronaldo Nayo Imechochea Zaidi Hili Jambo Kutokea Leo.
Hapa sijaelewa, so ni mchezaji wa NC united ila tukichukua Kombe anavaa medali, how?? Na kama Wao Newcastle wakichukua bado atavaa medali??Nick Pope kala umeme huko. [emoji23]
Good news kuelekea fainali. Dubraka sina uhakika kama ataweza kucheza maana alichezea United hata tukibeba kombe atachukua medali kama mchezaji wa United.
Tushindwe sisi tu.
Umenena vema mkuu ila tatizo la fred ni muendelezo tu. Wiki hii amesifiwa kwa kiwango bora ila hutarajii kuona kiwango kama hicho mechi ijayo.Fred, case, de gea,,, walifanya majukumu yao vyema Sana
Uingize mashabiki hata 90,000Wajenge uwanja mpya..