Jamaa anajipigia tuThis is a Marcus Rashford appreciation post.
#TrustTheProcessETH
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2519839
Hamna kitu mule.Jamaa anajipigia tu
Wewe unayempinga kocha anayejitahidi kuleta upinzani ndiye unayejua mpira.Nimekuuliza unajua mpira kweli wewe?
Suala sio kufunga goli gumu.Mpeni sifa zake tuu jamaa anapambana ila kafunga goli gumu kwel
United kufungwa na Barca siyo kitu cha ajabu lakini kiti anachokaa Barcelona basi pembeni yake yupo United.Hii timu mara ya mwisho kutufunga 2008.
Miaka kumi na tano iliyopita.
Mna haki kushangilia draw ya jana.
kwel kabisaa...Wachezaji wetu walichoka sana. Wamecheza mfululizo. Tulitakiwa dakika ya 75 tufanye sub ya watu kama watatu lakini benchi halina mtu. Dakika 90 tumefanya sub moja.
Kwa timu hipi ya kunifunga?United kufungwa na Barca siyo kitu cha ajabu lakini kiti anachokaa Barcelona basi pembeni yake yupo United.
Barca ya miaka hiyo unafungwa unakubali kabisa tumezidiwa, mara ya mwisho kabla ya jana tumekuja Camp Nou na kikosi kibovu huku ile Barca yenyewe ikiwa ndiyo inaishia. Hii Barca ya sasa ya kawaida tu kama ilivyo United mpaka tunakutana Europa.
Timu kama Madrid ilikuwa level moja na Barca na United lakini uongozi wa hizi timu mbili ukazipoteza na sasa tunarejea.
Kufungwa na timu bora si ajabu lakini siyo Barcelona hii 😁 njooni Old Trafford tuwape tiketi ya kurudi Spain mpambane na mbio za ubingwa.
Halafu, nani jana kaitafuta droo? 😂
jamaa kaimprove sanaaNa ile penalt alinyimwa
goli la pili ni juhidi za nani kwanSuala sio kufunga goli gumu.
Ana uwezo wa kutoa nafasi wengine wafunge ila anataka yeye afunge mwenyewe.
Kwa timu hipi ya kunifunga?
Una timu mbovu sana.
Wachezaji wazito na wavivu kama wamebebeshwa dunia mgongoni.
Mkipata mpira hata kukaa nao kwa sekunde tano ni mtihani.
Ni utoto tu wa Barca ila ulikua unakufa nyingi.
Timu yenu still inategemea miujiza kushinda na sio uwezo.
Hongereni kwa ushindi jana nyie manure maan sishani kama kuna team kutoka EPL imeshawi kuondoka na ushindi pale camp nou .Kupata sare ni ushindi mkubwa sana kwenu.
Sasa mkuu, unaposema "ni utoto tu wa Barca.." si ndio madhaifu yenyewe hayo ambayo hufanya timu zifungwe na watu wabebe makombe? Mpira ni mchezo wa makosa.
Hata MUFC ya Ole ilikuwa timu nzuri ila "ni utoto tu wa akina Pogba na ubishoo ila tulikuwa tubebe makombe."
Hakuna muujiza kwenye mpira, unafanya makosa na unaadhibiwa watu wanabeba makombe. Acha tantalila nyingi, wewe kwa sasa hauna timu ya kutisha. Kunywa maji utulie.
Kumbuka umeitafuta sare kwenye uwanja wako wa nyumbani na hapo ulikuwa unacheza na MUFC ambayo haina Martinez wala Sabitzer.
Kweli kabisa mm mara ya mwisho kuona mechi kali kama ya jana ilikuwa niGemu kama ya leo piga nikupigie mara ya mwisho kuiona ilikuwa Fainali mwaka jana Qatar France Vs Argentina ..
Kwaiyo bora Didier kavumbagu kuliko RashidNilikuwa namkubali sana wakati ule anaanza, baadaye nikagundua ni miyeyusho.